Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Bythen ukaja usemi hapendwi bali mbwa na pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera zaowadada wanagawa mzeee Havana akili timamu
Chuki dhidi ya nani?hilo swali lako limeficha chuki nyuma yake funguka
Ule mkibao alizabwa na mhindu?hiyo ni kweli opeleishini vijiji imefanya na mwinyi mwinyi ndie alie mua soko 4 mwinyi ndie alie alibu uchumi kuingia vitani uganda mwainyi ndie mwinyi ndie alie leta umasikini baada ya kuwataifisha watu mali zao kisa uujumu uchumi, unapo sema akupendwa na waisilamu wenzake huo ni upunguani wako wa akili waisilamu hapa wanaingiaje
Ni kweli naikumbuka hii kesiPascal Mayalla, Mshana Jr, Mzee Mohamed Said hii issue ni ya kweli au ni chai kama matango pori mengine?
Umfanyie mbwai mfadhili wa bajeti yako? Usipokuwa na uhuru wa uchumi, hauko huru kabisa, wewe bado ni mtumwa wa bwana mkubwaSasa mu Africa afanye hayo kwao
Uone kama busara ingetumika
Wakati mwingine bora mbwai mbwai tu
Dar kweli wengi walikua wadogo ama hawajazaliwa, hii ni kweli, mimi binafsi nilikua napata habari za kesi hii kupitia gazeti la mfanyakazi, ambalo lilikua linatoka kila juma mosi, kabla baadae kutoka pia jumatano.Pascal Mayalla, Mshana Jr, Mzee Mohamed Said hii issue ni ya kweli au ni chai kama matango pori mengine?
Wewe Umesimuliwa, Operation vijiji imefanyika 1973, Rais alikua hayati Nyerere na ndiye aliamuru Operation vijiji, mimi nakumbu niko mdogo, nakumbuka kuna kijiji tulikua tunakipita kwenda shambani baadae watu wape walihama, ila wakati huo sikujua sababu za kuhama kwao.hiyo ni kweli opeleishini vijiji imefanya na mwinyi mwinyi ndie alie mua soko 4 mwinyi ndie alie alibu uchumi kuingia vitani uganda mwainyi ndie mwinyi ndie alie leta umasikini baada ya kuwataifisha watu mali zao kisa uujumu uchumi, unapo sema akupendwa na waisilamu wenzake huo ni upunguani wako wa akili waisilamu hapa wanaingiaje
Baba kulikua na kesi nyingine, ilikua tamu kipindi hicho, alimaarufu Kesi ya Akesh. Tunasoma kwenye gazeti kama movie hivi sasa, kabla za juzi juzi za Kina Simba Ulanga.Mie ndio nanyonya niacheni na maziwa ya mama halafu saivi wafanye hivyoo uone unalogwa
Kwanini gazeti la mfanyakazi liliacha kuchapishwa? Nakumbuka sehemu ya NIPASHEDar kweli wengi walikua wadogo ama hawajazaliwa, hii ni kweli, mimi binafsi nilikua napata habari za kesi hii kupitia gazeti la mfanyakazi, ambalo lilikua linatoka kila juma mosi, kabla baadae kutoka pia jumatano.
Hizo video hadi leo zipoMimi Kuna wakati nikiwa mdogo Kama niliwahi kuona video ya mwanamke wa kiAfrica alifanyiwa ngono na mbwa mweusi, nilishangaa Sana kwa kweli[emoji848]
Binafsi nilisikia,japo sina hakika kama ndio hivi inayozungumzia hapa.Pascal Mayalla, Mshana Jr, Mzee Mohamed Said hii issue ni ya kweli au ni chai kama matango pori mengine?
Wewe ulisikia nini?Binafsi nilisikia,japo sina hakika kama ndio hivi inayozungumzia hapa.
hakukbwakwa bali alikula dili alipwe kuwaridhisha wao na mbwa wao. Kawaida wanawake wa kizungu wanatembea na mbwa hivyo, wazungu walitaka kujua kama hata waswahili wanafanya hivyo.Hiki ni kisa cha miaka mingi kidogo, kuna baadhi ya members wa JamiiForums walikuwa hawajazaliwa, na wengine walikuwa ni wadogo sana, na wengine walikuwepo ila walikisahau.
Ninakiweka kisa hiki ili kuwakumbusha mabinti wa kizazi hiki ambao wanadhani mabwana wa kizungu na maisha ya kudanga ndio msingi wa maendeleo yao.
SIKU ya Jumatatu Aprili mosi, 1991 ilikuwa mbaya sana kwa Sara (jina halisi linahifadhiwa), msichana kutoka Mkoa wa Iringa aliyekuwa anaishi na dada yake eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ilikuwa ni ya pili ya Pasaka, yaani Easter Monday kwa Kiingereza, na Sara (aliyekuwa na umri wa miaka 20 wakati huo) aliamua kufanya matembezi katikati ya jiji.
Ilikuwa majira ya saa nne usiku alipoingia katika Hoteli ya Kilimanjaro kwenye ukumbi wa burudani, ilipokuwa inatumbuiza bendi maarufu ya The Tanzanite's. Akiwa ukumbini hapo, alijikuta akifahamiana na Wazungu wanne waliomkaribisha kinywaji aina ya Vodka.
Ilipotimia majira ya saa sita usiku, Wazungu wale walimshawishi Sara afuatane nao kwenda kwenye nyumba ya mmoja wao eneo la Mlalakuwa. Sara alifikiri Wazungu wale walikuwa watu waungwana kwa kuwa walionyesha ukarimu kwake. Walimchukua katika gari lao hadi katika nyumba hiyo na kumkaribisha sebuleni kwa vinywaji zaidi. Kwa vile Sara alikuwa si mwenyeji sana katika Jiji la Dar es Salaam hakujua ramani ya eneo alilokuwa huko Mlalakuwa.
Baada ya kutosheka na vinywaji, Wazungu wale walimwacha Sara peke yake sebuleni na kwenda zao kulala vyumbani. Usiku wa manane ulipowadia, Wazungu waliamka na kumtoa Sara sebuleni hadi baraza ya kando ya nyumba. Walimshika kwa nguvu, wakamvua nguo zake na kubakia kama alivyozaliwa.
Baada ya hapo walimchukua mbwa wao na kumgeuza 'mume' wa Sara! Kitendo hicho kilifanywa kwa nguvu bila Sara kuridhia wala kuweza kujitetea. Mmoja wa Wazungu wale alikuwa anapiga picha kwa kamera yake ndogo wakati mbwa akifanyishwa ngono na Sara.
Baada ya ya unyama huo, Sara alipakiwa katika gari na kurudishwa katikati ya jiji na kuachwa kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Hospitali ya Ocean Road. Maskini Sara alikuwa amedhalilishwa kiasi cha kuona hana tena thamani katika dunia, hivyo alitaka kujiua kwa kujitosa baharini.
Wakati akihangaika hovyo karibu na alfajiri, askari polisi wa ulinzi baharini walimwona na kumwokoa. Baadaye aliwasimulia yaliyomkuta, wakaamua kumpeleka Hospitali ya Rufaa Muhimbili (wakati huo) kupima afya yake.
Madaktari walithibitisha kwamba ni kweli alikuwa ameingiliwa kimwili na mnyama. Uthibitisho huo uliwapa fursa polisi kuanza uchunguzi. Wakati polisi wanafanya uchunguzi, habari hizi zilifika Shirika la Habari Tanzania (SHIHATA) wakati huo na kuandikwa katika gazeti la serikali la Sunday News la Aprili 7, 1991. Siku chache baadaye, polisi walifanikiwa kujua nyumba ambayo Sara alifanyiwa unyama na kuwatia mbaroni Wazungu wale.
Polisi hawakuchelewa kufungua mashtaka mahakamani (wakati huo Kivukoni). Wazungu walipelekwa kusomewa mashtaka na kunyimwa dhamana. Siku walipofikishwa mahakamani, watu wengi walifika kutaka kuona Wazungu hao walikuwa watu wa aina gani.
Pale Kivukoni ilipo Mahakama Kuu, Kitengo cha Biashara hivi sasa, palifurika watu ambao hawajawahi kuonekana tena eneo hilo. Dk. Masumbuko Lamwai ndiye alikuwa wakili wa utetezi na hoja zake za kuomba dhamana kwa washtakiwa zilishindwa, kwani hakimu alisema wakiachiwa wanaweza kudhuriwa vibaya na jamii iliyokuwa imekasirishwa sana na habari za unyama waliofanya.
Baada ya mwezi mzima wa kesi, serikali ilitoa hati ya kuwafukuza nchini Wazungu wale, kama watu wasiotakiwa kufika tena hapa Tanzania. Ilibainika baadaye kwamba walikuwa ni raia wa Ujerumani na walikuwa nchini kama wataalamu wa kigeni (expatriates) wakati huo maarufu kama'.
Serikali ilichukua hatua hiyo baada ya kuona kesi hiyo inaweza kujenga hisia za kibaguzi katika jamii, kwani tayari watu wengi walianza kuonyesha chuki mbaya kwa Wazungu wote, wakiwamo watalii, wawekezaji na mabalozi. Ulikuwa ni uamuzi wa busara sana wa Serikali ya Awamu ya Pili chini ya Alhaji Ali Hassan Mwinyi.
Lakini busara hizo hazikuzingatiwa sana, kwani habari za uchunguzi zinasema Wazungu wawili miongoni mwa wale wanne, walirudi tena nchini kinyemela. Inasadikiwa walirudi chini ya mwavuli wa dhehebu moja la dini. Hadi sasa haifahamiki kama walitumia majina mengine ya bandia na kama bado wapo nchini, lakini habari za kuonekana kwao tena Dar es Salaam zilifahamika tangu 1997
Tukio hiloWewe ulisikia nini?