Kisa cha binti aliyebakwa na Wazungu wanne na mbwa wao

hujamuelewa tu alimaanisha kwamba hayo mabaya ya nyerere ni mwinyi alifanya? yaan ametumia uandishi mgumu kidogo alitaka kuonyesha kwamba nyerere alikuwa mbaya zaidi
 
Hili sakata halikuwahi kumchafua marehemu Dr. Lamwai kweli ? Au nachanganya na la ubunge mpaka kufungiwa leseni ya uwakili. Dr. Lamwai akiwa anatufundisha course za Criminal Law na Civil Law aliwahi kugusia kidogo saaana kuhusu hiyo kesi.
 
Kufariki kwa Edward Moringe Sokoine kulipelekea kutimiza wajibu wa kikatiba tu maana ilikuwa Mwal. Nyerere ang'atuke na hiyo ilipelekea kumpata Mwinyi. Maana sura kama Kawawa na Cleopa Msuya tayari iliuwa ni ngumu.
 
Hili sakata halikuwahi kumchafua marehemu Dr. Lamwai kweli ? Au nachanganya na la ubunge mpaka kufungiwa leseni ya uwakili. Dr. Lamwai akiwa anatufundisha course za Criminal Law na Civil Law aliwahi kugusia kidogo saaana kuhusu hiyo kesi.
R. I. P
 
Kesi ilimtoa Lamwai hii. Ila dada zetu wanawashobokea sana wazungu. Kuna wakati akili zao wanaziweka kwenye masaburi. Sio wazungu wote ni wabaya, ingawa wengi ni abusive sana
 
Yaani watu wafanye ukatili hivyo halafu wakaachiwa kirahisi hivyo..kma ni kweli nchi zetu za kimaskini hazitakaa tuendelee. Piga picha mtz angekuwa amefanya Ukatil dizain hyo huko ujeruman, USA ingekuwa vipi? Je wangejali chochotee...
Ni ya kweli kabisa! Hakuna chai hata kidogo
 
Mkuu hii kitu ni kweli kbs. Wala sio chai. Jitahidini muwe mnaenda maktaba ya taifa kusoma matukio yaliyopita zama hizo. Hii kesi ilikuwa hot kipindi hicho RTD ikivuma hasa na kipindi cha Majira.
Mkuu mwaka huu nilikuwa darasa la kwanza, kijijini huko,wilaya ya Makete. Ilikuwa hot nchi nzima. Wakubwa walikuwa wanasimuliana baada ya kusikia kwenye Redio Tanzania. Nakumbuka vema sana japo nilikuwa mdogo.

Uko sahihi kiongozi. Wenye redio kijijini walikuwa wachache pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…