Kisa cha Desmond Doss na dhana ya uwezo wa nguvu za Mungu

Hacksaw ridge movie nimeirudia rudia zaidi ya x10
Movie Kali Sana hyo , it shows the horrible of war .....ukiona mzungu hataki masuala ya vita kwake jua anamaanisha ....walishapitia na wanajua how the cost it is ....
 
Hapo juu umemtaja Joji Kichaka' Je ni Joji mkubwa au joji mtoto?
Hapana ni joji mkubwa na kuna kisa chake pia nikipata time nitakileta, waliagizwa kwenda kushambulia kisiwa cha Chichi Jima japan, zikiwa ndege nane , zote zilitunguliwa na yeye Peke yake ndo aliokolewa wenzake wote waliuawa ...na wengine waliliwa nyama na wajapan , nouma Sana ....
 
Mano likwelikwe
 
Alikuwa na uhusiano mzuri na Mungu, si bure!
 
Shuhuda chache Sana zenye nguvu ya ushawishi kama hzi
 
Imani
 
Ngoja niwahi siti nitarudi bdae! Mzigo una picha nzuri na hadithi ndeefu.

Oya! Hii story imekamilika sio tunaanza kupoteza muda kusoma alafu unakutana na "ntaendelea bdae..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…