Kisa cha Isra na Miraj kuhusu Muhammad kwenda mbinguni kuchukua swala tano ni kisa cha uwongo

Kisa cha Isra na Miraj kuhusu Muhammad kwenda mbinguni kuchukua swala tano ni kisa cha uwongo

Mbona mada za Dini sikuizi zinakuja kwa kasi sana
Sasa kama wenye dini zao wenyewe wamekataa kutumia akili na logic kuzipima sisi tufanyeje zaidi ya kufunua logic ...kuonyesha uongo na mapungufu ...waislamu huwa mnajisifu kuwa nyie siyo makondoo kama wakristo, kwa maana kuwa mnafuata dini hiyo kwa ufahamu, sasa mbona mna weweseka mnapo onyeshwa mapungufu na upuuzi uliopo kwenye dini na madhehebu yenu.
 
We matakhoo.
Nijibu hoja gani, wakati watu wanatumia vitabu vyao kucriticize vitabu vingine. Maswala ya imani sio ya kukurupuka acheni watu na imani zao, wakipotea wewe unateseka nini?
Jifunze kutumia lugha rafiki ya kiungwana isiyo na matusi kujibu hoja wala hautapungukiwa chochote.

Hakuna Imani/Dini inayobariki matusi, hivyo jifanyie tathimini mwenyewe juu ya mwenendo wako huo.
 
uchochezi huo sio hoja..anapaswa atufundishe mafundisho ya imani yake ili hata hao mnawaita kobaz watoke huko waliko lakini kuwachafulia kipenzi chao nikuwakosea heshima ndo maana wengi wameamua kunyamanza.
Mtu akijibu hoja kama hivi ulivyojibu kwa kutumia lugha ya kiungwana isiyo ya matusi ni vema na inafaa na unaeleweka vizuri.
 
Simzidi Mwarabu Muhamadi:
Yeye licha ya utaahira alikuwa Mchawi mzito sana:
Ndio maana akaunda undugu na Majini
Ndio yaliyomsafirisha Hadi Kuzimu yakamdanganya kuwa ni Yerusalemu
Surat Al-Jinn 72:1–2
Hakika tumesikia Qur’an ya ajabu, inaongoza kwenye uongofu, basi tumeiamini.

Surat Al-Haqqah 69:44–46
Na lau angelitunga juu Yetu baadhi ya maneno, tungemshika kwa nguvu, kisha tungemkatia mshipa wa moyo.

Surat At-Tur 52:33–34
Au wanasema: Ameitunga? Bali hawaamini. Basi walete maneno mfano wake ikiwa wao ni wakweli.

Tumia akili #
 
Majini yalianza kuwa Maislamu kabla ya Muhamadi:
Baadae Yaka amua kumchagua Muhamadi (kule Pangoni) ili aeneze hiyo Dini kwa Waislamu watu:
4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
 
Kabla hatujafika mbali...

Je ni kweli Yesu alifufuka alipaa kaenda mbiguni?

Je ni kweli Nabii wa Mungu Enoch alipaa na yeye mpaka Kwenye universe na kuingia peponi?
Majini yalianza kuwa Maislamu kabla ya Muhamadi:
Baadae Yaka amua kumchagua Muhamadi (kule Pangoni) ili aeneze hiyo Dini kwa Waislamu watu:
4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
Popote mlipo, mauti itakufikieni, hata mkiwa katika ngome zilizojengwa imara. Na wakiwapata mema husema: Haya ni kutoka kwa Mwenyezi Mungu; na wakiwapata mabaya husema: Haya ni kutoka kwako. Sema: Yote ni kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Basi watu hawa wana nini hawaelewi maneno?

4:79
Yoyote yatakayokupata ya mema ni kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na yatakayokupata ya mabaya ni kutokana na nafsi yako. Na tumekutuma wewe kwa watu uwe Mtume. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Shahidi.
 
Haya sasa kapokee mshahara wako kwa bandiko lako hili. I hope umeajiriwa kwa kazi hii tu mana si kwa juhudi hii

Sisi wapenzi wa Mtume Muhammad SAW hatutishiki, hatubabaiki na mabandiko ya kipuuzi kama haya

Unapoteza muda wako bureee,

laana inakuhusu
 
Mimi huwa nakuamini sana ila Nina uhakika hii story ni ya uongo na hujaitoa kwenye Quran

Maana hii story ni ngano kabisa
 
Back
Top Bottom