Kisa cha Isra na Miraj kuhusu Muhammad kwenda mbinguni kuchukua swala tano ni kisa cha uwongo

Mimi huwa nakuamini sana ila Nina uhakika hii story ni ya uongo na hujaitoa kwenye Quran

Maana hii story ni ngano kabisa
Ipo kwenye vitabu vyao na wanafundishwa kabisa

Hujawahi kuisikia hata kidogo?
 
Haya sasa kapokee mshahara wako kwa bandiko lako hili. I hope umeajiriwa kwa kazi hii tu mana si kwa juhudi hii

Sisi wapenzi wa Mtume Muhammad SAW hatutishiki, hatubabaiki na mabandiko ya kipuuzi kama haya

Unapoteza muda wako bureee,

laana inakuhusu
Hahaaaa eti laana inanihusu

Ishindwe kuwapata nyie mnaopinga wokovu wa Bwana Yesu inapate Mimi

Kama unajiweza nisomee Albadir
 
hapo middle east dini hazijatofautiana kiivyo mkuu

unafahamu ni kwa nini iko hivyo? siku ukija kupata jibu la hilo swali na ukilielewa, ndiyo siku utakuwa huru ..
 
mi mbona niko huru sana mkuu, au we umeelewaje hiyo comment yangu?
 
Hizi dini nyoko kweli yaani Mudi alijua kuwaokota wapumbavu..
 
Jifunze kutumia lugha rafiki ya kiungwana isiyo na matusi kujibu hoja wala hautapungukiwa chochote.

Hakuna Imani/Dini inayobariki matusi, hivyo jifanyie tathimini mwenyewe juu ya mwenendo wako huo.
WEwe ni mpuuzi sababu ulipaswa umrekebishe huyo aliyekashfu dini zawatu, wewe ukamtetea kwa kuonyesha ameleta hoja ya maana.
Marako yako again.
 
Sasa kama wenye dini zao wenyewe wamekataa kutumia akili na logic kuzipima sisi tufanyeje zaidi ya kufunua logic ...kuonyesha uongo na mapungufu ...waislamu huwa mnajisifu kuwa nyie siyo makondoo kama wakristo, kwa maana kuwa mnafuata dini hiyo kwa ufahamu, sasa mbona mna weweseka mnapo onyeshwa mapungufu na upuuzi uliopo kwenye dini na madhehebu yenu.
Kwani ndugu nimekwambia imani yangu ni ipi?. Pole sana
 
Hoja ziko kama tatu au hata tano, zinazothibitisha kuwa Muhammad hakuwahi kufika Yerusalemu katika Msikiti wa Al-Aqsa, wala hakuwahi kwenda mbinguni kuchukua sala tano.

Hoja ya 1. Kipindi hicho hakukuwa na msikiti wowote pale Yerusalemu. Muhammad alizaliwa mwaka 570 AD. Akafariki 632 AD. Msikiti wa Al-Aqsa ulijengwa kwa mara ya kwanza mwaka 685 AD, zaidi ya miaka 53 baada ya kufa Muhammad. Sasa huo msikiti unaotajwa kuwa aliingia kwenda kuwasalisha manabii ni upi?

Hoja ya 2. Inasemekana alipofika peponi alipewa swala 50. Alipokuwa anashuka akafika kwenye wingu la Musa, na Musa akamuuliza, umepewa swala ngapi? Akajibu 50, lakini Musa akamwambia, rudi umwombe Mola wako akupunguzie maana ni nyingi. Mimi watu wangu walipewa amri 10 tu zikawashinda. Muhammad akarudi kuomba apunguziwe akapewa 45, akawa anashuka tena, na alipofika kwa Musa tena, Musa akamuuliza, amekupunguzia ngapi? Akasema zimebaki 45, Musa akamwambia bado ni nyingi, rudi ukaombe tena upunguziwe. Ikaenda hivyo hivyo mpaka zikabaki 5.
Uwongo hapa ni kule kuonesha kuwa Allah hajui Umma wa Muhammad unastahili sala ngapi, ila Musa ndiye anajua. Halafu hapa Muhammad anayeitwa rehema kwa viumbe wote, kiasi kwamba hata manabii wote, watu wao wakiwakimbilia siku ya mwisho kuomba wanusurike, eti watawaelekeza kwa Muhammad. Lakini hapa anakuwa kama zuzu, anabebeshwa tu anakimbia na furushi mpaka aulizwe aambiwe rudi ukaombe, anarudi anaomba anapunguziwa, kisha anabeba tena anaondoka, akifika njiani anaulizwa, anaambiwa rudi ukaombe upunguziwe, naye anarudi. Yaani hapa Musa ndiye ana akili kuliko Muhammad na Allah, huu ni uwongo wa mchana kweupe.

Hoja ya 3, ni kule kudai kuwa alipofika pale msikitini, (ambao tumeshaona haukuwepo), eti aliwaswalisha manabii wa kabla yake rakaa 2. Sasa hizo rakaa mbili alizowaswalisha akina Musa, Ibrahimu, Isa, Daudi na wengine aliwafundisha saa ngapi? Na kama walikuwa wanaziswali na umma zao kabla ya Muhammad, imeandikwa wapi?

Hoja ya 4, aya inayokoleza uwongo huu ni Qur. 17:1. Ajabu ni kwamba aya inasema
👇
سُبْحَانَ الَّذِي أَسْرَىٰ بِعَبْدِهِ لَيْلًا مِّنَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ إِلَى الْمَسْجِدِ الْأَقْصَى الَّذِي بَارَكْنَا حَوْلَهُ لِنُرِيَهُ مِنْ آيَاتِنَا ۚ إِنَّهُ هُوَ السَّمِيعُ الْبَصِيرُ
Qur. 17:1
"SUBHANA, Ametakasika aliyemchukua mja wake usiku mmoja kutoka Msikiti Mtukufu mpaka Msikiti wa Mbali, ambao tumevibariki vilivyo uzunguka, ili tumuonyeshe baadhi ya ishara zetu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia na Mwenye kuona."
Hoja hapa ni kwamba aya imezungumzia kuwa ni kutoka Msikiti Mtukufu ambao wanasema ni (Maka) mpaka Msikiti wa Mbali. Haisemi ni mpaka Msikiti wa Yerusalemu. Sasa kama safari ilikuwa ni ya kutoka Maka mpaka mbinguni, kupitia Yerusalemu! Vipi mahali pa mbali pawe ni Yerusalemu pasiwe mbinguni? Tafsiri potofu ya aya hii ndiyo inachochea mgogoro baina ya Wapalestina na Waisraeli kwa kupotosha maana, na kujenga mazingira ya kuona kama wanaonewa kumbe wao ndiyo wavamizi.

Hoja ya 5 inayodhihirisha uwongo wa kisa hiki, ni mitazamo ya wanazuoni wa Kiislamu juu ya kisa hiki. Sheikh Abdallah Saleh Al-Farsy, mfasiri wa Qur'an kwa Kiswahili na aliyewahi kuwa Kadhi wa Zanzibar na Mombasa nchini Kenya, amekitaja kisa hiki katika kitabu chake cha HISTORIA YA MAISHA YA NABII MUHAMMAD kama kisa kilicholeta hitilafu kubwa katika Uislamu. Huku wengine wakiamini kuwa ilikuwa ni ndoto tu, lakini wengine wakiamini kuwa alisafiri kweli.
Wale wanaoamini kuwa ilikuwa ndoto, wanazo hadithi zinazothibitisha kuwa usiku unaotajwa kuwa Muhammad alisafiri, mmoja wa masahaba alienda kuthibitisha kwa mmoja wa wake zake na akamthibitishia kuwa Muhammad hakwenda popote, usiku kucha alilala naye.
Kwa hiyo ninaposema kuwa ni kisa cha uwongo, ni kwa sababu ya mazingira kama hayo.
View attachment 3542646
Momo mzee wa kamba sema Wenzetu dini ni kama utamaduni,elimu ya kuwazindua unayoileta hapa ni kubwa sana shida tuu walivyowekewa kichwani kuvitoa ni kazi sana.
 
Wanasema nimekashifu
 
ACHA KUJITOA UFAHAM....
VITU VINGINE VIMEANDIKWA KAMA UFUNUO WA YOHANA (kwenye Biblia)
SASA UKITAKA YOHANA AKUPE USHAHIDI WA HICHO ALICHO ANDIKA KWENYE BIBLIA, AMBACHO ALIONA KWENYE MAONO, HUWEZI KUPATA MAJIBU.......Kuamini au kutokuami unawaachia wafuasi wa Biblia.

Kwa hayo matusi yako kwa viongozi wa Dini; siku za mwisho Yesu atakapo kukataa kuwa hakutambui, ndio utajua hujui !!!
 
Back
Top Bottom