Kisa cha Isra na Miraj kuhusu Muhammad kwenda mbinguni kuchukua swala tano ni kisa cha uwongo

Mimi huwa nakuamini sana ila Nina uhakika hii story ni ya uongo na hujaitoa kwenye Quran

Maana hii story ni ngano kabisa
Ipo kwenye vitabu vyao na wanafundishwa kabisa

Hujawahi kuisikia hata kidogo?
 
Hahaaaa eti laana inanihusu

Ishindwe kuwapata nyie mnaopinga wokovu wa Bwana Yesu inapate Mimi

Kama unajiweza nisomee Albadir
 
hapo middle east dini hazijatofautiana kiivyo mkuu

unafahamu ni kwa nini iko hivyo? siku ukija kupata jibu la hilo swali na ukilielewa, ndiyo siku utakuwa huru ..
 
unafahamu ni kwa nini iko hivyo? siku ukija kupata jibu la hilo swali na ukilielewa, ndiyo siku utakuwa huru ..
mi mbona niko huru sana mkuu, au we umeelewaje hiyo comment yangu?
 
Hizi dini nyoko kweli yaani Mudi alijua kuwaokota wapumbavu..
 
Jifunze kutumia lugha rafiki ya kiungwana isiyo na matusi kujibu hoja wala hautapungukiwa chochote.

Hakuna Imani/Dini inayobariki matusi, hivyo jifanyie tathimini mwenyewe juu ya mwenendo wako huo.
WEwe ni mpuuzi sababu ulipaswa umrekebishe huyo aliyekashfu dini zawatu, wewe ukamtetea kwa kuonyesha ameleta hoja ya maana.
Marako yako again.
 
Kwani ndugu nimekwambia imani yangu ni ipi?. Pole sana
 
Momo mzee wa kamba sema Wenzetu dini ni kama utamaduni,elimu ya kuwazindua unayoileta hapa ni kubwa sana shida tuu walivyowekewa kichwani kuvitoa ni kazi sana.
 
Momo mzee wa kamba sema Wenzetu dini ni kama utamaduni,elimu ya kuwazindua unayoileta hapa ni kubwa sana shida tuu walivyowekewa kichwani kuvitoa ni kazi sana.
Wanasema nimekashifu
 


ACHA KUJITOA UFAHAM....
VITU VINGINE VIMEANDIKWA KAMA UFUNUO WA YOHANA (kwenye Biblia)
SASA UKITAKA YOHANA AKUPE USHAHIDI WA HICHO ALICHO ANDIKA KWENYE BIBLIA, AMBACHO ALIONA KWENYE MAONO, HUWEZI KUPATA MAJIBU.......Kuamini au kutokuami unawaachia wafuasi wa Biblia.

Kwa hayo matusi yako kwa viongozi wa Dini; siku za mwisho Yesu atakapo kukataa kuwa hakutambui, ndio utajua hujui !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…