Kisa cha Kajala kulishwa Sumu ni Mume wa Mtu

Kisa cha Kajala kulishwa Sumu ni Mume wa Mtu

na wewe watakuwekea
bora umwekee mumeo limbwata akianza ku tongoza mwanamke wa nje huko anakua anapatwa kigugumizi maneno hayatoki...akiongea mengine yanatoka..lol

Haa haa...hii kali.. Mwisho wa siku anaonekana domo zege/zito wanamshit....ila na sie akina mama ving'ang'anizi, hawachelewi kumsemea wakiona yeye ana kigugumizi....
 
Halaf nikunwe na nanii??!!saaa nyingine wanaume huwekea limbwataa akili zinakua sio zao,wanawake sie wabayaa tena mwanaume akishalishwa nyama ya kondoo iliyowekwa katikati ya K mbona mke hasikilizwii

na wewe si umuwekee tu hilo limbwata kama kweli
 
na wewe si umuwekee tu hilo limbwata kama kweli



Ila mim nikigundua nimewekewa limbwata nampiga mtu chini fasta
 
Back
Top Bottom