na wewe watakuwekea
bora umwekee mumeo limbwata akianza ku tongoza mwanamke wa nje huko anakua anapatwa kigugumizi maneno hayatoki...akiongea mengine yanatoka..lol
Haa haa...hii kali.. Mwisho wa siku anaonekana domo zege/zito wanamshit....ila na sie akina mama ving'ang'anizi, hawachelewi kumsemea wakiona yeye ana kigugumizi....