Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Wasaalam..
Aisee imepita miaka kipindi npo 1st year udsm Kuna course ya hesabu MT sijui ngapi nimesahau code tulikua tunafundishwa na mkorea mmoja
Mambo yakawa yanaenda fresh mpaka siku kesho yake tunafanya test 1, tupo kwenye pindi jamaa akamaliza akaanza kupitia notes zake kwenye projectile mara anatuonyesha Hili ndo swali la kwanza, watu wakaguna! Mara Hili ndo la pili mpaka akafika matano! Watu wakayanote alafu yote yalikua mifano so yalikua yametolewa majibu kwenye desa hapo hapo
tunamaliza pindi watu wakawa wanaambiana huyu anatania au yupo serious, basi bana watu wakapiga kitabu na ile mifano aliyoisema ataitoa kwenye test watu wakaimeza sio kikawaida, kesho yake tunafika test mara maswali yote Yale Yale matano mpaka Kuna watu wakaanza kucheka
Itoshe kusema tu na test 2 mfumo ukawa vile vile Yani maswali yote alituonyesha kabla ya mtihani tena ilikua mifano tu, akaja kuondoka zake kabla ya ue(final exam) hazijafika tukapewa kibwengo mmoja mbongo amalizie course! Aisee jamaa kuja kutoa course work akawa analalamika kishenzi watu karibia wote Wana 40/40! Yaani wa mwisho ana 33 sijui nae hata alipataje course work ndogo
tukawa tunachekelea tu kwamba hapo Banda(A) ni uhakika! Bana eh!!! Kuja kuingia final exam itoshe kusema tu sijawahi kukutana na mtihani nondo kama huo maisha yangu yote, baada ya kusoma mtihani watu wote wakaangaliana wakaanza kucheka tulikua tunafanyia yombo Kule
watu wengi waliambulia B- plain yaani mana yake kwenye mtihani wa marks 60 wengi hawakutoa hata 20/60!! B+ zilikua chache na Wala hakuna aliyepata Banda! Shikamoo wabongo!! Tunajua sana kusagiana kunguni
siku njema!!