Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

Mimi nimekuwa mpole hapa. Kila comment nakubali tu na kichwa. Basi ngoja nimalizie chai yangu.
 
Naam mimi nakuamini kabisa na niseme kuwa binafsi nakuelewa sana. Jeshi letu ndiyo bora sana Afrika nzima kwa kila kitu. Ndiyo maan Raisi alifanya busara sana kuwaachia JWTZ washughulikie swala la korosho. Namshauri kama akiweza alipe jeshi mamlaka liwashugulikie hawa wapinzani wanaotumiwa na mabeberu, najua vijana wetu wakakamavu kutoka TISS na JWTZ wanaweza kuingia hata pale Brussels bila kuonekana na wakaondoka bila hata kuonekana.
Duuh haya sasa mihogo na togwa sijui itakuwaje?
 
Mkuu harakati zenu za kumsapoti kachero mbobezi kuchukua fom ya uraisi inaendelea?Mwambie garethbale aendeleze ule uzi wa mzee kikwete alimtuma membe kwa nyerere!!!
MKUU USIHANGAIKE katiba inamruhusu kila mtanzania Mwenye sifa kupitia chama cha sasa kugombea URAIS kwa kuzingatia sifa na vigezo.

kwahiyo kuchukua fomu au kutochukua kunabaki MIKONONI MWA mhusika!

Yeye ni Mtz !

KIFUPI haturudi nyuma 2020 uzi ni ULELE.

#/ NIGUSE NINUKE
 
Htr sn hii..........Kagame huyu huyu PK nnayemfahamu ama paul makonda?!
 
Back
Top Bottom