Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh haya sasa mihogo na togwa sijui itakuwaje?Naam mimi nakuamini kabisa na niseme kuwa binafsi nakuelewa sana. Jeshi letu ndiyo bora sana Afrika nzima kwa kila kitu. Ndiyo maan Raisi alifanya busara sana kuwaachia JWTZ washughulikie swala la korosho. Namshauri kama akiweza alipe jeshi mamlaka liwashugulikie hawa wapinzani wanaotumiwa na mabeberu, najua vijana wetu wakakamavu kutoka TISS na JWTZ wanaweza kuingia hata pale Brussels bila kuonekana na wakaondoka bila hata kuonekana.
Ukitua hilo uje na lingine liwe na uzito wa wastani.Ngoja niwatue
Duuh haya sasa mihogo na togwa sijui itakuwaje?Naam mimi nakuamini kabisa na niseme kuwa binafsi nakuelewa sana. Jeshi letu ndiyo bora sana Afrika nzima kwa kila kitu. Ndiyo maan Raisi alifanya busara sana kuwaachia JWTZ washughulikie swala la korosho. Namshauri kama akiweza alipe jeshi mamlaka liwashugulikie hawa wapinzani wanaotumiwa na mabeberu, najua vijana wetu wakakamavu kutoka TISS na JWTZ wanaweza kuingia hata pale Brussels bila kuonekana na wakaondoka bila hata kuonekana.
MKUU USIHANGAIKE katiba inamruhusu kila mtanzania Mwenye sifa kupitia chama cha sasa kugombea URAIS kwa kuzingatia sifa na vigezo.Mkuu harakati zenu za kumsapoti kachero mbobezi kuchukua fom ya uraisi inaendelea?Mwambie garethbale aendeleze ule uzi wa mzee kikwete alimtuma membe kwa nyerere!!!
Ulielewa ulikua unamaanisha nini?Duh JK alikuwa n Nouma....kuza wakati wammgogoro wa ziwa Nyasa walillala asubuhi kumekucha wanajeahi wa bongo kila kina wanaUngumza kiswahili
Sijui alikuwa kakusudia kutupasha nini, ila ni jambo zuri kuhisu jeshi letu
Sijui alikuwa kakusudia kutupasha nini, ila ni jambo ziri
HuyohyoHtr sn hii..........Kagame huyu huyu PK nnayemfahamu ama paul makonda?!
Haiwezekani mkuu.....sisi ni wepesi sn kwa PKSijui alikuwa kakusudia kutupasha nini, ila ni jambo ziri
Huyohyo
PK yuko mbali sn....
Nakukatalia hadi keshoHaiwezekani mkuu.....sisi ni wepesi sn kwa PK
Yaelekea wewe ni mfano wa TomasoHalafu hii habari mbona JF walikubali iwekwe Mei 7 badala ya Aprili 1?
Hata ya Kifimbo cha Nyerere mimi ni Tomaso.Yaelekea wewe ni mfano wa Tomaso