Na ndicho watu wengi hawakijui.
Embu ona nchi kama ya Tanzania, kuongeza tu mishahara ya wafanyakazi ni shida, unafikiri zinatengwa Tsh ngapi kwa ajili ya Defence Budget..kuna wakati Jeshi lilikuwa linadaiwa madeni makubwa na Tanesco na Dawasco hadi CDF akaomba tena kupitia Media umeme usikatwe.Naona kuna wajinga humu wanapayuka tu eti tuna jeshi imara! In terms of what real? Labda discipline kwa sababu hatusikii mutiny wala coup d' etat.
Hata kwa wingi tu wa wanajeshi tumezidiwa na nchi nyingine za East Africa, tuna jeshi lisilozidi watu 27,000 wakati Rwanda wana active personnel zaidi ya 33,000, Ethiopia ndio kabisa, wana wanajeshi zaidi ya 155,000.Sasa huu ufahari wetu tunatoa wapi? Hata mafunzo, Jeshi letu halina cha ajabu, instructors na military advisors ni walewale wanaofundisha kwingine, wengi wanatoka China,USA, Germany etc. Kama ni vifaa ndio kabisaa,tumezidiwa hata na Uganda, jirani zetu hawa wameweza kununua ndege za kivita modern kabisa, Sukhoi 30 (Su 30) na wamekuwa wana mordenize jeshi lao tangu 1986 kwa msaada mkubwa wa US (U.S. was contributing a big chunk of Uganda Defense, I am told Rwanda is now enjoying the same) sisi jeshi letu la anga ni almost non-existent. Endeleeni tu kujisifia, huku mnaachwa kila siku.
Anyway Uzi unakwenda tu[emoji23][emoji23]