Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Naona hiz habar zimefika kwenye vyombo vikubwa tu vya habar kama JF..ndio maana hata rais Buhari akaisifia JF yetu maana ni noma kwa "classified info"Kabisa, na hakutaka habari hizi zifike BBC, DW, CNN na kwingineko maana ni fedheha kwa nchi.
😛😛😛😛😛
Mkuu Freed Freed umeniacha hoi sana kwa huu uzi wako.
Ahahahahahah