Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

Khuma Kibuyu nyie Mnachojua ni Kuiba Kura Tu Jiandaeni 2020 Tuonyeshane Ubabe TISSCCM,POLICCM,JWTZCCM VS UKAWA(TUNDU LISSU).

"kinacho Sura,Kina Kisogo"
 
Khuma Kibuyu nyie Mnachojua ni Kuiba Kura Tu Jiandaeni 2020 Tuonyeshane Ubabe TISSCCM,POLICCM,JWTZCCM VS UKAWA(TUNDU LISSU).

"kinacho Sura,Kina Kisogo"
Ukweli ndio huu. Hata siku moja manajisi hayawezi kukalia Ikulu zetu, iwe Zanzibar au Tzbara. Hata kama mtashinda kwa kura zote tutachukulia wote waliowapigia kura ni mahayawani wasiojitambua. Hatuwapi nchi hata kwa sekunde moja na milele yoteeeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nifunge nini km buti ni miaka kadhaa kabla hujazaliwa
unaleta porojo wakati hata mitaa ya Kigali huijui
kuweka supporting link tufuatilie huna/ huwezi
unadhani ni kijiwe cha khawa
unajua Kagame kakaa msituni miaka mingapi?unamjua Mtikila? Kombe? na Mwansheria wetu
watoto mliojiunga mwaka jana 2017 msitudanganye
weka link sio Facebook hapa
Acha ujinga dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga dogo Sent using Jamii Forums mobile app

Much Know

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
rep.png
1,769
like.png
1,141
point.png
280
PUNGA wewe naona ninyi ndio mliotumwa kwani hujui Mada inazungumzia nini auanidandia kwa mbele
tupo wanaume tusiotaka vitoto vitoto vijinga km ww
 
Kwa kutangulia kujiunga ndo ufikiri jina la mjinga litakuacha? Wewe ni mpuuzi regardless your age na utaendelea kuwa hivyo.

Much Know

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
rep.png
1,769
like.png
1,141
point.png
280
PUNGA wewe naona ninyi ndio mliotumwa kwani hujui Mada inazungumzia nini auanidandia kwa mbele
tupo wanaume tusiotaka vitoto vitoto vijinga km ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli unaweza kupata intel nyeti kama hii kwa kudodosa, unajua maana ya kudodosa kweli? Unaanza kuzingua sasa, unapoteza credibility ya info zako taratibu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijadodosa, ila wasio na access na information nawaasa wadodose watasikia tukio hili ambalo kagame anaona aibu likisambaa.
 
Hello Jf.
nikosapo humu sina raha,
kukosa Mb ni karaha
daima jf ni furaha
japo kidogo karaha
kwa wachache
si kwa wote!
 
Eti jenerali , Fieldmarshal atishwe na Kanali.
Kagame linapokuja kwenye suala la kijeshi ni hatari!.
-Kapindua
-Kamuondoa Mobutu
-Kawashughulikia Interahamwe

Hawezi kukaa Rwanda kibwegebwege yuko fiti, yuko njema. Ila kama inatokea vita ya kiukweliukweli na bongo atapigwa kwa technical knockout kwa sababu tu ya internal divisions za Uhutu na Utusi, ila nchi yake ingekuwa United, Kagame yuko njema sana
 
Kwa kutangulia kujiunga ndo ufikiri jina la mjinga litakuacha? Wewe ni mpuuzi regardless your age na utaendelea kuwa hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimekuita PUNGA kwa sababu hujui tulichobishana naye
wewe hii story ya Kagame kutekwa unaiamini
au kimekuuma nilipo wataja Marehemu Mtikila, Kombe na Jwani Mwaikusa
Mleta Mada kaniuliza ndio kina nani hao basi kwa vile wewe ni muchknow ungemsaidia kwani tulishawazungumzia hawa watu na mapandikizi km ninyi mnaotumwa humu na KG na M7
 
Back
Top Bottom