Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

nimekuita PUNGA kwa sababu hujui tulichobishana naye
wewe hii story ya Kagame kutekwa unaiamini
au kimekuuma nilipo wataja Marehemu Mtikila, Kombe na Mwansasu
Mleta Mada kaniuliza ndio kina nani hao basi kwa vile wewe ni muchknow ungemsaidia kwani tulishawazungumzia hawa watu na mapandikizi km ninyi mnaotumwa humu na KG na M7
PUNGA babako inaoeneka inaonekana wewe product ya shoga ulizaliwa kama kinyesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hujui ulifikirialo badala ya kudandia Mada unajilengesha kwa Wanaume, mwenzako kauliza Mtikila, Kombe na Jwan Mwaikusa ni nani, wewe unawabadilikia watuma Post
siku nyingine jifunze kujibu Mada sio mto post Punga shwain wa juzi tu wewe
1552284461329.png

Much Know

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
 
Hao uliowataja wamefanyeje?
Dofo story za huyu jamaa usipime kabisa ni lazima uwe Mchambuzi usiangalie hapa tu Dar alipotua jana kwa Rais wetu, kakaa porini ujana wake wote na rafikiye M7 mpaka sasa anatawala ajuavyo hakuna mbabe atamsogelea ila rafikiye M7 tu ndio kiboko yake Kikwete hakumuweza
hao uliowauliza Mtikila, Jwani Mwaikusa na Kombe watafute humu JF walishajadiliwa miaka iliyopita na wabobezi kwa msaada tu
Law Professor Jwani Mwaikusa: Martyr for truth at the ICTR? - JamiiForums
Kagame adaiwa kupandikiza makachero nchini kuipeleleza Serikali mbunge atajwa kuhusika! - JamiiForums
na hii hasa
Huu ndo waraka wa Mitiklia uliomchukiza Rais Kagame!!!!! - JamiiForums
 
Unamu-overrate Tutsi mwenzio...
hujui ulifikirialo badala ya kudandia Mada unajilengesha kwa Wanaume, mwenzako kauliza Mtikila, Kombe na Jwan Mwaikusa ni nani, wewe unawabadilikia watuma Post
siku nyingine jifunze kujibu Mada sio mto post Punga shwain wa juzi tu wewe
View attachment 1042855

Much Know

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
 
Unamu-overrate Tutsi mwenzio...
ni kweli maana hawajifichi, acha nimuengeenge lkn wiki hili kwao kubaya sasa hivi mafahali wawili wamenyanyua pembe watakaposhuka itakuwa patashika sisi tunyamaze
Yoweri K Museveni (@KagutaMuseveni) | Twitter
" Uganda is stable. I have said before that those who try to destabilize our Country do not know our capacity. It is big. Once We mobilize you cannot survive if you are a trouble maker ".
 
Eti jenerali , Fieldmarshal atishwe na Kanali.
Kagame linapokuja kwenye suala la kijeshi ni hatari!.
-Kapindua
-Kamuondoa Mobutu
-Kawashughulikia Interahamwe

Hawezi kukaa Rwanda kibwegebwege yuko fiti, yuko njema. Ila kama inatokea vita ya kiukweliukweli na bongo atapigwa kwa technical knockout kwa sababu tu ya internal divisions za Uhutu na Utusi, ila nchi yake ingekuwa United, Kagame yuko njema sana
Hana chochote, wewe ndyo wale waaminio propaganda za Kagame
 
nimepitia page ya Twitter ya Kagame huko mambo ni moto; by the looks of things kuna raia wa Rwanda waliuawa; sijui ni kwanini ; lakini yeye anadai yupo Tayari kwa lolote.
 
Eti jenerali , Fieldmarshal atishwe na Kanali.
Kagame linapokuja kwenye suala la kijeshi ni hatari!.
-Kapindua
-Kamuondoa Mobutu
-Kawashughulikia Interahamwe

Hawezi kukaa Rwanda kibwegebwege yuko fiti, yuko njema. Ila kama inatokea vita ya kiukweliukweli na bongo atapigwa kwa technical knockout kwa sababu tu ya internal divisions za Uhutu na Utusi, ila nchi yake ingekuwa United, Kagame yuko njema sana
HV unafahamu ubora wa jeshi letu? HV unafahamu ubora wa kikosi chetu cha land force? Unafahamu ubora wakikosi chetu cha airforce? Rwanda inch ndogo sana kwa tz kwa jins navyojua ubora wa jeshi na naninavyo lielewa jeshi LA Rwanda nakucheka sana aiseee
 
😂😂😂 Uzi unaenda tu....
Ahahahhahaah....umeonae mkuu!uzi wa kiboya ila una trend balaa.ila nilichopenda ni kwamba wadau wanakuja na alternative arguments zinazofanya topic iwe interesting.Though hawaujadil exactly uzi wwnyewe ila wana come na ideas zinazohusiana na hawa watu wawil na hiz nchi mbili
 
Back
Top Bottom