Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #241
Sijakuelewa umemaanisha nini kusema unanyanyaswa!Wenye PhD humu JF mnatunyanyasa sana! Cc: Mtoa mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa umemaanisha nini kusema unanyanyaswa!Wenye PhD humu JF mnatunyanyasa sana! Cc: Mtoa mada
Fanya utafiti juu ya post yangu kisha leta mrejesho
Rwanda imewahi kupigana Vita mkuu vya direct? au unaongea ili tujue uwepo wako...Jipendekezeni basi muone cha Mtema Kuni. Mnadhani Rwanda ni kama Uganda au Kisiwa cha Comoro? Tena hakuna Taifa jepesi ambalo Rwanda inaweza Kulipiga itakavyo kama la Tanzania. Japo kila Uchao mnahangaika ' Kutupeleleza / Kutujasusi ' huku mkijifanya ni wana ' Diplomasia ' wazuri ila tambueni kuwa na Sisi kila Sekunde, Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na Miaka huwa tunaifuatilia Tanzania yenu Kindakindaki kuanzia Mjini hadi Vijijini na ndiyo maana kwa Jeuri na Nyodo kabisa nakuambia kuwa Wanyarwanda hasa wa Kabila la ' Tutsi ' wanaijua Tanzania kuliko hata Watanzania wanavyoijua Rwanda na hata tukitaka ' Kuwapigeni ' tunajua tuanzie wapi na tumalizie wapi ili tuwamalizeni kabisa.
Eti kamba, huna Imani na nchi yako, fahamu ina nguvu za ajabu
Embu muulize maana ni mjuaji mnoRwanda imewahi kupigana Vita mkuu vya direct? au unaongea ili tujue uwepo wako...
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa unajiona unajua sana kumbe ni fala sana, gabbageNitukane uwezavyo nidhihaki utakavyo ila narudie tena Kuandika huku nikijiamini kwa 100% kuwa Tanzania haina ubavu / jeuri / uwezo wa Kupambana Kivita / Kijeshi / Kimedani na Rwanda na kupitia Wewe Mtanzania mwenzao ' Pimbi ' mmoja nikuombe tu waambie Watanzania wenzako kuwa kama wanataka wasifikie Malengo yao ya Viwanda na Uchumi wake na wakitaka Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Tabora, Mara, Ruvuma,Morogoro, Iringa, Arusha, Geita, Rukwa na Kagera ziwe ' Territories ' rasmi za Rwanda endeleeni tu Kujidanganya na ' Kushoboka ' nasi. Mtafute Mtu unayejua anakuzidi ' Akili / IQ ' ili akuambie ni kwanini ' Strategically ' kabisa nimekutajia tu hiyo Mikoa na mingine nimeiacha. Rwanda ' tumebarikiwa ' na Mwenyezi Mungu Akili, Ushujaa na Uthubutu. Kidogo tunayemuogopa ni Uganda na siyo Tanzania.
Fara mbwa koko na watutsi wenzako you think are superior, y'all will become null, bare in mind, Kagame's last visit, he was summoned na serikali. Sasa wewe nzi unaandika upuuzi humu, shows how dumb you are.Umeshawahi Kuona Mnyarwanda tena wa Kabila la ' Kitutsi ' anaogopa na anatishika hasa na Wapuuzi wachache ambao huenda na Wewe ukawa ni Mmoja wao?
Boss kwa hili kitu umefeli sana narudia umefeli sana huo ujasusi mnaofanya ndio unawapa kiburiNa huwezi amini Mkuu kuna ' Wapumbavu ' kadhaa wamemuamini kabisa kwa 100% hadi kumpa ' Likes ' zao kwa alichokiandika huyo ' Mpuuzi ' hapo. Acha awaaminishe ' Ujinga ' Watanzania wenzake hao kisha Rwanda tukifanya yetu kwa Tanzania ndipo watajuta Kutufahamu.
DuuuhBoss kwa hili kitu umefeli sana narudia umefeli sana huo ujasusi mnaofanya ndio unawapa kiburi
Tukiingia battlefield mnakula kichapo asubuhi sana na ka nchi kenyewe kalivyo kadogo sijui mtakimbilia wapi heheheh maana Uganda sijui kama watawapokea maana mmezinguana nao
Kongo kuna intarahamwe tena.sisi tukilianzisha tu tunachapa mashariki Kule magharibu FDLR wanapata chance wanawachapa na kuchukua nchi mapema sana tunamweka mhutu awalize vizuri kwa second round zaidi ya ile ya 94 hehehehh
So umeona slim kaja kuomba misaada juzi hapa
Utajifanya mtutsi extrimist but Tutsi extinction is coming soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui niandikeje uamini
Nasikia walifanya mazungumzo ya Siri na Magufuli. Rais wetu awe makini maana Pk mjanja mno.Boss kwa hili kitu umefeli sana narudia umefeli sana huo ujasusi mnaofanya ndio unawapa kiburi
Tukiingia battlefield mnakula kichapo asubuhi sana na ka nchi kenyewe kalivyo kadogo sijui mtakimbilia wapi heheheh maana Uganda sijui kama watawapokea maana mmezinguana nao
Kongo kuna intarahamwe tena.sisi tukilianzisha tu tunachapa mashariki Kule magharibu FDLR wanapata chance wanawachapa na kuchukua nchi mapema sana tunamweka mhutu awalize vizuri kwa second round zaidi ya ile ya 94 hehehehh
So umeona slim kaja kuomba misaada juzi hapa
Utajifanya mtutsi extrimist but Tutsi extinction is coming soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kweli unaweza kupata intel nyeti kama hii kwa kudodosa, unajua maana ya kudodosa kweli? Unaanza kuzingua sasa, unapoteza credibility ya info zako taratibu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa100%. Tatizo ninyi sio wadodosi
Uwezo ganj wa kukunja nondo na kuvunja matofali ...wenzetu wenye kutengeneza silaha na kujenga uchumi wao tuwaitaje wa kwetu endeleeni tu kuiba korosho mtwara na kufyeka mitaro asubuhi kwenye kambiWengi wanabisha ila mm ckubishii mkuu,,,jeshi letu linaweza tena linaweza kwa asilimia mia,,,
Achana na JW,,ni noma sana wale jamaa,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo ganj wa kukunja nondo na kuvunja matofali ...wenzetu wenye kutengeneza silaha na kujenga uchumi wao tuwaitaje wa kwetu endeleeni tu kuiba korosho mtwara na kufyeka mitaro asubuhi kwenye kambi
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hahaha Sasa hii tuiite Lumumba au lupimbiHalo JF siasa.
Niende madani hapo juu.
Ktk kipindi cha mwaka 2013 hadi 2015 kulikuwa na mgogoro wa kibinafsi na baadae kiinchi kati ya wababe Rais Kikwete na kagame wa Rwanda. Kiini cha mgogoro ni ushauri wa Jk kwa Pk juu ya waasi wa FDLR.
Sasa kutokana na mgogoro wao huo kila moja alipanga kumwonesha mwenzie yeye nani. Kikwete akatuma kikosi maalumu cha makomando kutoka Tz na kuingia Kigali usiku wa manane na kuiteka nyumba anayolala kagame na walifanikiwa kwa asilimia 100% kuingia ktk jiji hilo bila kutambulika.
Baadae kikosi hicho tiifu kilivunja milango na kuingia ndani ambapo walimkamata Rais kagame ambapo aliamua kwa huruma ya kutoweshwa usiku huo kumwomba Jk msamaha kwa njia ya simu huku makomando wa Tz wakisimama chumbani mwake.
Baadae Jk alimwambia mkuu wa operesheni kuwa wamwache na warudi nyumbani na akamwambia kagame kuanzia siku hiyo azibe mdomo wake vinginevyo atajuta.
Nyumba hiyo ya kagame ipo mitaani Kigali na sio Ikulu kwani kagame amegoma kuishi ndani ya Ikulu tangu awe Rais kwa sababu ajuazo yeye. Wakati hayo yakijiri walinzi wote wa nyumba walikuwa washamalizwa na kikosi kazi hicho kabla ya kuingia viunga vya nyumba hiyo ya Rais wa nchi ndogo inayoibuka kiuchumi na kitechnolojia kwa kasi kwa sasa.
Ee Mola tunashukuru kwa Busara zilizotumika kipindi hicho vinginevyo...........