Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

Fictional movie.
 
Pumbavu Rwanda haina huo uwezo hata kidogo
 
Unaota ndoto za mchana.
 
Uongo ni kipaji
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msitufanyie hivyo bro tusameheni
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri itakuwa umekariri tukio la kweli kuhusu kanali mahfoudh wakati wa ugomvi wa Tanzania na Malawi alipomuingilia rais wao Banda na kumwonya akileta chokochoko atarudi kwa stahili ileile na kummalizs
 
Freed Freed
paka simpendi mpaka kesho , ila kiatu hiki ni over size.
Naona unawatafuta kina gentmycn ,kagamee n.k wakija humu hali itachafuka.
 
Alikiona cha mtema kuni, ashujuru Jk alikuwa na busara, vinginevyo Leo Rais wa Rwanda angekuwa mwingine
 
Wewe sema mashudu ila ujue tukio hili lilitokea na Kagame aliona aibu na kufadhaika mno na alibaki mpole mno baada ya hapo.
Kumteka na kumuachia raisi wa nchi ya kigeni akiwa nchini mwake inaweza kuwa zoezi rahisi sana lakini kutoka salama ndani ya ardhi ya nchi hiyo baada ya kufanya hivyo ni kazi ngumu kuliko kazi yeyote ile kufanywa na binadamu.
 
Leo sijui n vipi,thread nyingi ni chai afu sijachekesha,basi nko nacheka hapa kama Malaya
 
Umemsimuliwa Kagame wewe humjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…