Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #381
Kwa kifimbo nakubaliana nawe kuwa ni uongo mtupuHata ya Kifimbo cha Nyerere mimi ni Tomaso.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kifimbo nakubaliana nawe kuwa ni uongo mtupuHata ya Kifimbo cha Nyerere mimi ni Tomaso.
Huo ndio ukweli Mchungu.....Nakukatalia hadi kesho
Fictional movie.Halo JF siasa.
Niende madani hapo juu.
Ktk kipindi cha mwaka 2013 hadi 2015 kulikuwa na mgogoro wa kibinafsi na baadae kiinchi kati ya wababe Rais Kikwete na kagame wa Rwanda. Kiini cha mgogoro ni ushauri wa Jk kwa Pk juu ya waasi wa FDLR.
Sasa kutokana na mgogoro wao huo kila moja alipanga kumwonesha mwenzie yeye nani. Kikwete akatuma kikosi maalumu cha makomando kutoka Tz na kuingia Kigali usiku wa manane na kuiteka nyumba anayolala kagame na walifanikiwa kwa asilimia 100% kuingia ktk jiji hilo bila kutambulika.
Baadae kikosi hicho tiifu kilivunja milango na kuingia ndani ambapo walimkamata Rais kagame ambapo aliamua kwa huruma ya kutoweshwa usiku huo kumwomba Jk msamaha kwa njia ya simu huku makomando wa Tz wakisimama chumbani mwake.
Baadae Jk alimwambia mkuu wa operesheni kuwa wamwache na warudi nyumbani na akamwambia kagame kuanzia siku hiyo azibe mdomo wake vinginevyo atajuta.
Nyumba hiyo ya kagame ipo mitaani Kigali na sio Ikulu kwani kagame amegoma kuishi ndani ya Ikulu tangu awe Rais kwa sababu ajuazo yeye. Wakati hayo yakijiri walinzi wote wa nyumba walikuwa washamalizwa na kikosi kazi hicho kabla ya kuingia viunga vya nyumba hiyo ya Rais wa nchi ndogo inayoibuka kiuchumi na kitechnolojia kwa kasi kwa sasa. Rais kagame hakutaka habari hizi zivuje maana ni aibu kwa nchi huru.
Ee Mola tunashukuru kwa Busara zilizotumika kipindi hicho vinginevyo...........
Hivi Fred kagame unamjua unamskiaa??
Ingekuwa vice versa ningekuunga mkono
Uslolijua alilolindika GENTAMYACIN lina ukwel kwa %46 hasa pale anaposema kila idara kna wanyarwanda hata kama sio idala zte, Idara %kubwa ya idara wapo amn usiamn, Majuz tu Hapa nimeona idara moja hv yumo mtus, na hil kabila Watus ndi weng sana fatilia mkuu utapata majbu mwenyew
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuombi radhi wala siwaombi radhi hao wengine na bado GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nasisitiza kuwa Tanzania na narudia tena Tanzania haina uwezo wa Kupambana Kivita / Kimedani na nchi ya Rwanda. Nitasimama na hii Kauli hadi naingia Kaburini na nakuomba tena acha Kuwadanganya ( Kuwajambisha ) Watanzania kwa Kuwaaminisha Kitu ambacho hakiwezekani.Rwanda tunaijua Tanzania ndani nje kuliko Tanzania inavyoijua Rwanda. Yaani nawaonea Huruma kwa jinsi ambavyo ' mnadanganyana ' hapa.
Halo JF siasa.
Niende madani hapo juu.
Ktk kipindi cha mwaka 2013 hadi 2015 kulikuwa na mgogoro wa kibinafsi na baadae kiinchi kati ya wababe Rais Kikwete na kagame wa Rwanda. Kiini cha mgogoro ni ushauri wa Jk kwa Pk juu ya waasi wa FDLR.
Sasa kutokana na mgogoro wao huo kila moja alipanga kumwonesha mwenzie yeye nani. Kikwete akatuma kikosi maalumu cha makomando kutoka Tz na kuingia Kigali usiku wa manane na kuiteka nyumba anayolala kagame na walifanikiwa kwa asilimia 100% kuingia ktk jiji hilo bila kutambulika.
Baadae kikosi hicho tiifu kilivunja milango na kuingia ndani ambapo walimkamata Rais kagame ambapo aliamua kwa huruma ya kutoweshwa usiku huo kumwomba Jk msamaha kwa njia ya simu huku makomando wa Tz wakisimama chumbani mwake.
Baadae Jk alimwambia mkuu wa operesheni kuwa wamwache na warudi nyumbani na akamwambia kagame kuanzia siku hiyo azibe mdomo wake vinginevyo atajuta.
Nyumba hiyo ya kagame ipo mitaani Kigali na sio Ikulu kwani kagame amegoma kuishi ndani ya Ikulu tangu awe Rais kwa sababu ajuazo yeye. Wakati hayo yakijiri walinzi wote wa nyumba walikuwa washamalizwa na kikosi kazi hicho kabla ya kuingia viunga vya nyumba hiyo ya Rais wa nchi ndogo inayoibuka kiuchumi na kitechnolojia kwa kasi kwa sasa. Rais kagame hakutaka habari hizi zivuje maana ni aibu kwa nchi huru.
Ee Mola tunashukuru kwa Busara zilizotumika kipindi hicho vinginevyo...........
Rwanda ikileta chokochoko tunawarudisha Wahutu madarakani, Wahutu wakipata uungwaji mkono thabiti wa nchi kama TZ, Kagame anaondoka kesho asubuhi na mapema tu!. Udhaifu wenu mkuu ni Ukabila wenu wa Utusi na Uhutu kama wewe mwenyewe ulivyojitanabahisha!. Ka nchi kenu kako Landlocked tunachoweza kufanya ni kuwaminya mtumie bandari nyingine expensive ili hali ya uchumi kwenu iyumbe. Baada ya hapo ni kuwachukua wahutu wa kutosha na kuwatrain huko Mtwara, then kinachofuata ni combination ya long range missiles !. Wahutu watatupokea kwa maua na vigelegele huku wanajeshj wetu wakijichukulia warembo wa kitusi kiulainiii.
Nchi ya Wahutu 85% ni rahisi kuwafanya allies dhidi ya mtu kama Kagame anayetoka kwenye 15% ya population. Na huo ndo udhaifu wenu mkuu.
Nilijua mtabisha
Alikiona cha mtema kuni, ashujuru Jk alikuwa na busara, vinginevyo Leo Rais wa Rwanda angekuwa mwingineFreed Freed
paka simpendi mpaka kesho , ila kiatu hiki ni over size.
Naona unawatafuta kina gentmycn ,kagamee n.k wakija humu hali itachafuka.
Hii habari sikuwa nikiifahamuNafikiri itakuwa umekariri tukio la kweli kuhusu kanali mahfoudh wakati wa ugomvi wa Tanzania na Malawi alipomuingilia rais wao Banda na kumwonya akileta chokochoko atarudi kwa stahili ileile na kummalizs
Kumteka na kumuachia raisi wa nchi ya kigeni akiwa nchini mwake inaweza kuwa zoezi rahisi sana lakini kutoka salama ndani ya ardhi ya nchi hiyo baada ya kufanya hivyo ni kazi ngumu kuliko kazi yeyote ile kufanywa na binadamu.Wewe sema mashudu ila ujue tukio hili lilitokea na Kagame aliona aibu na kufadhaika mno na alibaki mpole mno baada ya hapo.
Umemsimuliwa Kagame wewe humjuiHalo JF siasa.