Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

KIFUPI WEWE NI MPUUZI,NA HOJA YAKO YA KIPUUZI,WATU TUNAOELEWA HUWA TUNACHEKA NA "hadithi ya mende kuangusha kabati" Boya, na kilaza mkubwa hapa jf,LEO UMETHIBITISHA UPUUZI WAKO.

WAASI WANAMWANGAHISHA THEN MUWEZE IPIGA TZ.

KAGAME HUWA ANAJINYEA ANAPOSKKIA JINA LA MBABE "KAYUMBA NYAMWASA"
 
Kuwepo katika idara zetu haimaanishi kuwa wote ni spies maana kuna warwanda wengi wamezaliwa hapa toka miaka ya tisini sababu ya wazazi wao kukimbia mauaji ya kimbari..
Nachombishia genta ni kujifanya ka kuwepo kwa warwanda ktk idara zetu basi wametushika hilo ndio nabisha.
Warwanda wengi wamezaliwa hapa na tunawatreat ka raia wa tz au mlitaka tuwatenge kwenye ajira ili mseme tunabagua raia wa tz wenye asili ya Rwanda???? Muda mwingine aache kusifia ujingaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikujiunga na JWTZ nilipomaliza shule ingawa kwa kipindi fulani mlango ulikuwa wazi. Ila, siku 'la mgambo' likilia, kuwa tupo vitani na Kagame. Naomba wani train kidogo wanipe silaha na kidumu cha maji nikawe gadi ya kwanza Rusumo.

I Will be in the front line for this cause

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
GENTAMYCINE utapotea humu. Baadhi ya makala zako zinaelimisha,sasa umevuka mstari.

Umeshawahi Kuona Mnyarwanda tena wa Kabila la ' Kitutsi ' anaogopa na anatishika hasa na Wapuuzi wachache ambao huenda na Wewe ukawa ni Mmoja wao?
 
Yani mleta mada na wewe naona wote mko sawa, zaidi tu ni kwamba wewe unaleta confusion ili watu waaanze kufikilia kua kwenye idara zetu nyeti ni nani ni mnyarwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshawahi Kuona Mnyarwanda tena wa Kabila la ' Kitutsi ' anaogopa na anatishika hasa na Wapuuzi wachache ambao huenda na Wewe ukawa ni Mmoja wao?
unazo akili mkuu,samahani boss. Nasikitika,but hakuna budi liwe hivyo. Tanzania kwanza
 

Rwanda ikileta chokochoko tunawarudisha Wahutu madarakani, Wahutu wakipata uungwaji mkono thabiti wa nchi kama TZ, Kagame anaondoka kesho asubuhi na mapema tu!. Udhaifu wenu mkuu ni Ukabila wenu wa Utusi na Uhutu kama wewe mwenyewe ulivyojitanabahisha!. Ka nchi kenu kako Landlocked tunachoweza kufanya ni kuwaminya mtumie bandari nyingine expensive ili hali ya uchumi kwenu iyumbe. Baada ya hapo ni kuwachukua wahutu wa kutosha na kuwatrain huko Mtwara, then kinachofuata ni combination ya long range missiles !. Wahutu watatupokea kwa maua na vigelegele huku wanajeshj wetu wakijichukulia warembo wa kitusi kiulainiii.

Nchi ya Wahutu 85% ni rahisi kuwafanya allies dhidi ya mtu kama Kagame anayetoka kwenye 15% ya population. Na huo ndo udhaifu wenu mkuu.
 

Umeanza Kuvuta Bange / Bangi lini?
 
Hiki kisa alicholeta huyu jamaa kimeonyesha kabisa watu wengi humu JF hawajui mambo mengi na si wafuatiliaji wa haya matukio.

Kwa anayejua zile pilikapilika za kijeshi kuanzia Mwanza mpaka Bukoba kipindi kile na upole wa ghafla wa PK unaweza kuhisi kitu na unaweza pia usimbishie Mleta uzi.
 
ASKARI WA RWANDA NI SAWA NA MGAMBO ,WEWE GENTAMYCINE NI MUOTA NDOTO !!
 
Acha kunichekesha mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshukuruni Mungu Magufuli ameukwaa Urais kama ngekewa, Laiti Rais angekuwa Membe angemaliza kazi mapema mwaka 2016 na Leo hii hapo Kwenu Rais angekuwa mhutu au kama ni mtusi basi ni General Kayumba Nyamwasa.
WANYARWANDA WAKILETA UJUAJI TUNAMWEKA MADARANI HUYU GENERAL KAYUMBA NYAMWASA
 

Attachments

  • images (2).jpeg
    13.1 KB · Views: 25
  • images.jpeg
    24.8 KB · Views: 26
  • Kayumba-nyamwasa-en-uniforme.jpg
    8.5 KB · Views: 28
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…