Kisa cha kweli kilichompata braza akijitafuta kuelekea Msumbiji

Part5:

Naendelea kumnukuu braza fumo

"tukaendelea kula msosi wetu, huku tukiacha jamaa zetu waendelee kupumzika kwa usiku ule, huku kepteni wetu bado akikata maji yale marefu kuelekea msumbiji.

hakika stori zilikua nyingi mimi na mwenzangu, huku tukikumbushana majukumu yetu kipindi tunacheza mpira kwenye klabu za huku mtaani kwetu na malawi, na vile wazee wa jamii yetu walivotukubali kisa vipaji vyetu vya soka.

ghafla, hali ya hewa ikabdilika, wingu kubwa likatanda na sauti za radi nene zikaanza kusikikaa usiku ule! halii hii ikafanya washkaji wote watoke usingizinii" . mwisho wa kumnukuu

braza fumo akashikwa na hali ya kwikwi, huku chozi ikimlenga machoni pake! muda mwingi nilitumia kumpa pole pamoja na watu wengine!.ambao walikuwepo katika simulizi hii.
 
Una safari ndefu Sana kuwa mtunzi wa riwaya. Inshort riwaya yako haivutii😂
 
Attachments

  • Screenshot_20240102-205543.png
    Screenshot_20240102-205543.png
    142.4 KB · Views: 11
itaendelea wakuu
Mkuu tafuta kwanza hela, ukipata muda wa ziada ndo endelea na kuandika, hata ukimaliza baada ya miezi 2, hakuna anayekulipa hapa!

Usiwasikilize hawa, wenzako wanafanya shughuri zao, wakiwa free wanaingia JF.

Wanataka uache unachofanya, uwaridhishe wao.
 
noted champ, nalifahamu hilo
 
Back
Top Bottom