Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Habari za muda huu wakubwa
Itaendelea
Itaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 Tufanze kaziii,Mmh! anhaaah!! In mwenda zake voice
nimekutumia 900,000 kwenye M-PESAHabari za muda huu wakubwa
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 kabila langu mkerewe nimezaliwa jijini mwanza hospital ya bugando
Ila kwa sasa nipo jijini dar es salaam .
Elimu yangu ni form four na taaluma yangu ni kinyozi.
Mwanza nlkua naishi Mecco na huku dar ninaish tegeta.
Leo nataka nisimulie mambo yanayontokea ambayo mi binafsi yamenishinda ninahangaika Sana jaman .
Nsiwapotezee mda Saana ngoja turudi nyuma kidogo,
Mwaka 2018 kipind hicho nilikua mwanza nlifungua biashara ya saluni ya kiume nikaanza kupambana namshkur mungu biashara ilichanganya nikawa na wateja wengi eneo Hilo na maeneo ya jiran ,
Nimefanya kazi mpk mwaka 2019 ugonjwa wa corona ulipoingia biashara ikawa ngumu madeni ya Kodi yakaanza kwahyo nikawa naishi tu hvohvo kigum gumu
Mdogo mdogo najaribu kurudi kama zaman lakini inashindikana mpka ilipofika mwaka 2021 mwezi wa kumi na mbili ndipo Kuna rafikiangu mmja kwajina anaitwa Reuben aliponpigia simu na matatizo ndio hapo yalipoanzia..........
Itaendelea
Kwanza badilisha jina lako, unajua maana ya Zombie? Halafu unalalamika maisha magumu wakati umejiita jina la vibwengo? Wanadai jina lao lilipiwe sasa utalipa na nini? Futa hilo jina haraka!Habari za muda huu wakubwa
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 kabila langu mkerewe nimezaliwa jijini mwanza hospital ya bugando
Ila kwa sasa nipo jijini Dar es Salaam .
Elimu yangu ni form four na taaluma yangu ni kinyozi.
Mwanza nlkua naishi Mecco na huku dar ninaish tegeta.
Leo nataka nisimulie mambo yanayontokea ambayo mi binafsi yamenishinda ninahangaika Sana jamani.
Nsiwapotezee mda Saana ngoja turudi nyuma kidogo
Mwaka 2018 kipind hicho nilikua mwanza nlifungua biashara ya saluni ya kiume nikaanza kupambana namshkur mungu biashara ilichanganya nikawa na wateja wengi eneo Hilo na maeneo ya jirani
Nimefanya kazi mpk mwaka 2019 ugonjwa wa corona ulipoingia biashara ikawa ngumu madeni ya Kodi yakaanza kwahyo nikawa naishi tu hvohvo kigum gumu
Mdogo mdogo najaribu kurudi kama zaman lakini inashindikana mpka ilipofika mwaka 2021 mwezi wa kumi na mbili ndipo Kuna rafikiangu mmja kwajina anaitwa Reuben aliponpigia simu na matatizo ndio hapo yalipoanzia.
Itaendelea