Kisa cha kweli : Nahitaji mnisaidie wakuu

Kisa cha kweli : Nahitaji mnisaidie wakuu

UZI TAYARI......
1675272288366.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uko serious unahitaji msaada jitahidi kufupisha hii stori yako.
 
Habari za muda huu wakubwa
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 kabila langu mkerewe nimezaliwa jijini mwanza hospital ya bugando
Ila kwa sasa nipo jijini dar es salaam .
Elimu yangu ni form four na taaluma yangu ni kinyozi.
Mwanza nlkua naishi Mecco na huku dar ninaish tegeta.
Leo nataka nisimulie mambo yanayontokea ambayo mi binafsi yamenishinda ninahangaika Sana jaman .
Nsiwapotezee mda Saana ngoja turudi nyuma kidogo,
Mwaka 2018 kipind hicho nilikua mwanza nlifungua biashara ya saluni ya kiume nikaanza kupambana namshkur mungu biashara ilichanganya nikawa na wateja wengi eneo Hilo na maeneo ya jiran ,
Nimefanya kazi mpk mwaka 2019 ugonjwa wa corona ulipoingia biashara ikawa ngumu madeni ya Kodi yakaanza kwahyo nikawa naishi tu hvohvo kigum gumu
Mdogo mdogo najaribu kurudi kama zaman lakini inashindikana mpka ilipofika mwaka 2021 mwezi wa kumi na mbili ndipo Kuna rafikiangu mmja kwajina anaitwa Reuben aliponpigia simu na matatizo ndio hapo yalipoanzia..........
Itaendelea
nimekutumia 900,000 kwenye M-PESA
 
Habari za muda huu wakubwa

Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 kabila langu mkerewe nimezaliwa jijini mwanza hospital ya bugando

Ila kwa sasa nipo jijini Dar es Salaam .

Elimu yangu ni form four na taaluma yangu ni kinyozi.

Mwanza nlkua naishi Mecco na huku dar ninaish tegeta.

Leo nataka nisimulie mambo yanayontokea ambayo mi binafsi yamenishinda ninahangaika Sana jamani.

Nsiwapotezee mda Saana ngoja turudi nyuma kidogo

Mwaka 2018 kipind hicho nilikua mwanza nlifungua biashara ya saluni ya kiume nikaanza kupambana namshkur mungu biashara ilichanganya nikawa na wateja wengi eneo Hilo na maeneo ya jirani

Nimefanya kazi mpk mwaka 2019 ugonjwa wa corona ulipoingia biashara ikawa ngumu madeni ya Kodi yakaanza kwahyo nikawa naishi tu hvohvo kigum gumu

Mdogo mdogo najaribu kurudi kama zaman lakini inashindikana mpka ilipofika mwaka 2021 mwezi wa kumi na mbili ndipo Kuna rafikiangu mmja kwajina anaitwa Reuben aliponpigia simu na matatizo ndio hapo yalipoanzia.

Itaendelea
Kwanza badilisha jina lako, unajua maana ya Zombie? Halafu unalalamika maisha magumu wakati umejiita jina la vibwengo? Wanadai jina lao lilipiwe sasa utalipa na nini? Futa hilo jina haraka!
 
Back
Top Bottom