Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

Mambo yanaendelea. Uchawi noma, omba issues kama hizi zisikukute katika njia zako za maisha.
 
Mtu anataka kutupa kisa cha kupendana na mchawi anaanza alipozaliwa!!!. Anza tukio likipoanzia baba tuokoe muda muda ni pesa.
 
Nilishasema wasukuma hawana akili ukabisha

On a serious note. Unaweza ukawa na point kubwa katika kumkosoa mtu fulani lakini ukifanya generalisation na kukashifu kabila lake unaonekana wewe ndio hauko sawa. Zama hizi hakuna mtu aliye timamu mwenye mentality kama yako.
 
Huyu katokomea aisee,huenda Vumilia kaweka objection simulizi isiendelee.
 
Hajatekwa wala nini. Suala ni kwamba anatabia za kike kupenda kubembelezwa
Mkuu wala haina haja ya kutukanana na kumwambia mtu ana tabia ya kike.

Wakati mwingine majukumu ya kusaka mkate yanatubana, sio kila siku utapata muda wa kuandika.

Halafu hii wiki siku mbili tatu zilizopita, sijawa poa sana kiafya Homa za hapa na pale, so ni lazima ujue mimi binadamu pia sio robot.

Wewe kama sio mvumilivu wa kusubiri, unaacha tu kusoma unasubiri hadi utakapoona neno mwisho, ndio unaanza kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…