Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

Mambo yanaendelea. Uchawi noma, omba issues kama hizi zisikukute katika njia zako za maisha.
 
Nilishasema wasukuma hawana akili ukabisha

On a serious note. Unaweza ukawa na point kubwa katika kumkosoa mtu fulani lakini ukifanya generalisation na kukashifu kabila lake unaonekana wewe ndio hauko sawa. Zama hizi hakuna mtu aliye timamu mwenye mentality kama yako.
 
Hajatekwa wala nini. Suala ni kwamba anatabia za kike kupenda kubembelezwa
Mkuu wala haina haja ya kutukanana na kumwambia mtu ana tabia ya kike.

Wakati mwingine majukumu ya kusaka mkate yanatubana, sio kila siku utapata muda wa kuandika.

Halafu hii wiki siku mbili tatu zilizopita, sijawa poa sana kiafya Homa za hapa na pale, so ni lazima ujue mimi binadamu pia sio robot.

Wewe kama sio mvumilivu wa kusubiri, unaacha tu kusoma unasubiri hadi utakapoona neno mwisho, ndio unaanza kusoma.
 
Back
Top Bottom