Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

Mbona haina muendelezo tunasubiria[emoji846][emoji846]
 
Mkuu, story nzuri, ila vipi Vumilia kaja kukubeba au 🤔
 
Napendekeza mods watoe lifetime ban kwa wote wanaoleta story na kushindwa kuzimalizia. Hii itakuwa fundisho.
 
Napendekeza mods watoe lifetime ban kwa wote wanaoleta story na kushindwa kuzimalizia. Hii itakuwa fundisho.
Hizi story kuna watu wanaandika wanauza huyu anasimulia bure still bado unamletea nongwa una akili umemchangia hata Pesa ya bando?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…