Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 479
- 727
Unayoyasimulia yanakaribiana kabsa na Yale niliyowahi elezwa sehemu niliyolelewa na yashatokea kabsa na mengine kuyaskia Kijiji jirani simiyu nomaaa,nilipokuwa mdogo nilikuwa na uwezo wa kuona Kama ulivyoeleza Ila siku hizi sioni kitu,kilichobaki Ni ndoto tu kuota Kama Kuna kibaya kipo mbele yangu lazma niote kabla ya siku husika au siku kadhaa mbele nikipuuza lazma kinitokee puani na kujuta ama kugharamika Sana..