Haji Mashaka Nassoro
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 384
- 850
Stori kama hii mtu anakopi anatengeneza Script anapiga HelaSawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stori kama hii mtu anakopi anatengeneza Script anapiga HelaSawa
Elezea kidogo hapo kwenye kuoa mchawi mkuuNina kufuatilia kwa umakini na ukaribu sana...wafia dini wnakufa sana hasa pale wanapousahau ushauri wa mhubiri 7:15-18. Mkuu yaliwahi kunipata, Mimi nilioa mchawi enzi hizo nikiwa nimfia dini.
Anyway nisikutoe kwenye kisa chako kinachoelimisha labda wengi watatokwa tongotongo kwenye ubongo...Tutambue Kuna jamii isiyoonekana na inafanya mambo yasiyoweza kuonekana kwa jicho la kawaida.
Ila simiyu inaongoza nchi hiiUchawi hauna mipaka, hivyo si suala la mahali au kabila Fulani. Binafsi nililogwa na mchaga wa Moshi...tusikalili
Dakika chache zijazo nadondosha kitu.Mkuu njoo basi alosto
..Dakika chache zijazo nadondosha kitu.
DahInaendelea sehemu ya saba.
Siku hiyo tulilala pale kwa mganga hadi asubuhi kulipopambazuka. Nililala kwenye nyumba aliyokuwa analala mjukuu wake wa kiume aliyekuwa anaitwa Malongo. Ni mtu ambaye nilikuwa nafahamiana nae vizuri. Asubuhi sana mganga alimwambia Vumilia aondoke maeneo yale, Vumilia alitii amri lakini kabla hajaondoka akaja kuninong'oneza maneno fulani.
"Umeijua siri ya maisha yangu ambayo sikutamani uijue, ila nimeamua kufanya haya mambo yote kwa sababu nakupenda"
Niliishia kumuangalia tu, akaondoka kama alivyoelekezwa na wala hakupita kwenye njia rasmi. Baadae Mganga aliniita nikaingia kwenye kijumba kile cha nyasi. Alinipa dawa fulani ya maji iliyokuwa kwenye chupa akaniambia nikachukue maji ndani, nichanganye na maji na ile dawa nikaoge. Nilifanya hivyo, nilipomaliza kuoga aliniita kwenye kile kijumba cha nyasi akanichanja chale. Baadaye aliniambia nikakae nje.
Baada ya hapo alichukua ile dawa iliyokuwa kwenye chupa akawa anazungukia wigo wake huku akiimimina kidogo kwenye mkono anairusha juu na kutamka maneno fulani. Baada ya muda alimaliza lile zoezi alichukua baiskeli, akaniambia anaenda kuongea na baba yangu na mimi nikamsisitiza wasimshirikishe mama yangu.
Muda anaondoka ilikuwa muda wa saa tatu asubuhi, alienda akaja kurudi muda wa saa sita wakiwa na baba. Kila mtu akiwa na baiskeli yake anaendesha. Baada ya baba kufika nilimsalimia, baada ya pale aliniangalia tu hakuniuliza chochote akaingia kwenye kile kijumba cha nyasi wakawa wanaongea na mzee Nkelebe. Baada ya muda niliitwa kule ndani nikaingia. Baba aliniangalia akaanza kuzungumza
"Pole mwanangu ninajua kila kitu kilichotokea"
"Unajua asubuhi saa mbili nilitaka kwenda huko(kijiji iliko shule ninayosoma) baada ya marafiki zako kupiga simu wanadai umetoroka usiku wakiwa wamelala na hawajui umeenda wapi. Wakati nikiwa njiani naendesha baiskeli. Nikakutana na shangazi yako Yame ( jina la bibi yake na Vumilia) akanieleza mambo mazito na ndiye aliyeniambia uko huku. Wakati nikiwa njiani kuja huku kukutafuta ndio nikakutana na mzee Nkelebe. Ilibidi tukae sehemu tuzungumze. Kwa hiyo najua kila kitu"
"Sasa tunaondoka sasa hivi tunaenda kijiji cha nyabonjo, tatizo lako likashughulikiwe" alikazia
Muda sio mrefu tulikuwa juu ya baiskeli mimi na baba yangu tukielekea huko Nyabonjo. Mzee Nkelebe hatukuenda nae alibaki nyumbani kwake. Kijiji cha Nyabonjo kilikuwa kusini mwa kijiji chetu na ili ufike tulikuwa tunavuka kijiji kimoja katikati. Baba aliendesha baiskeli huku akinisimulia jinsi alivyopata tabu kipindi alipokuwa ameugua wendawazimu miaka hiyo lakini alipona. Alinisisitiza kutokuogopa chochote. Tulifika huko Nyabonjo mpaka kwa mganga mmoja mzee Sana aliyeitwa Masele. Huyu alionekana kuwa mzee zaidi ya Nkelebe. Tulifika pale tukapewa kiti tukakaaa. Baba alieleza shida yake na mzee akatukaribisha na yeye kwenye nyumba yake ya nyasi.
Mandhari ya ile nyumba kwa ndani haikutofautiana sana na ya kule kwa mzee Nkelebe tofauti ni kwamba hii ilikuwa na vikorokoro vingi zaidi na chupa za dawa nyingi zaidi. Uaguaji wa mzee Yule haukutofautiana sana na wa mzee Nkelebe. Na yeye alikuwa anapiga sana manyanga, baada ya pale alinipa kipande cha mti wa mnyaa akaniambia niongee shida yangu kimya kimya. Nilipomaliza alitumbukiza kile kipande cha mti kwenye maji akaendelea kupiga manyanga huku akiongea ongea maneno mengi mengi Na kupiga chafya za hapa na pale.
Baada ya kumaliza shughuli ile akaanza kuzungumza.
"Ulisema mwanangu Nkelebe amewaelekeza hapa ili ukachukue damu ya huyu kijana. Sawa tutaenda kuichukua usiku lakini ni lazima nijiandae maana ni jambo gumu na la hatari kufanya hivyo"
Hakuongea sana akatuamuru tutoke mle ndani twende tukakae nje pale kwenye viti. Alivyotoka nje alikuwa ameshikilia mizizi na magome ya miti tofauti tofauti. Aliikusanya pamoja akawasha moto na kuanza kuichoma ile mizizi na yale magome moshi ukawa unatoka. Alichukua mkuki akawa anazunguka kwenye uwanja wa pale kwake huku akiwa anauelekeza angani mkuki kama anachoma kitu halafu akiongea ongea maneno kwa sauti ya chini ambayo tulikuwa hatuyasikii. Wakati mwingine alitembea hadi nje ya uwanja wake akiwa na jembe na kuchimbia dawa. Kila muda magome yalipounguzwa alileta mengine na kuendelea kuyachoma. Alifanya zoezi hilo kwa muda mrefu sana bila kuchoka. Baadae alichukua chupa fulani akatoa dawa yenye maji maji akawa ananipaka sehemu mbalimbali za mwili, akamaliza akanichanja chale kadhaa mgongoni, kifuani na maeneo ya tumboni na kunipaka madawa mengine ya unga mengine yako kama asali asali hivi.
Baada ya kumaliza zoezi hilo alimuuliza baba yangu. Unataka tuwafanyie nini hao wanaomloga mwanao baada ya kuchukua ile damu
"Wafe" baba alijibu bila kusita
"Sawa"
Ilikuwa imeshatimu usiku sasa kila kitu kilikuwa tayari, tulitakiwa tuongozane mimi na yule mzee kwenda kuichukua ile damu. Tuliondoka kwa mwendo wa miguu mkononi mimi nikiwa nimepewa fimbo na mzee Masele. Aliniambia nisiiachie ile fimbo hadi tutakaporudi. Alinisisitiza kitendo cha mimi kuiachia ile fimbo kingekuwa ni hatari kwangu. Tulitembea na ndani ya muda mfupi sana tulikuwa tumeshafika katika kijiji chetu.
Wakati mwingine unaweza kutamani teknolojia wanayotumia wanga ije kwenye maisha halisi. Maana mnatembea dakika kumi na tano tu sehemu ya kutembea masaa mawili.
Cha ajabu tulienda nyumbani kwao na Vumili. Nikajiuliza hapa ndipo damu ilipofichwa mbona haya mambo yananichanganya Sasa.
Tulipofika nyumbani kwao na Vumilia, mzee aligonga mlango na kukaa kimya. Dakika chache baadae alitoka bibi yake na Vumilia, alikuja moja kwa moja hadi sehemu tuliyokuwepo.
"Masele huwa unanitafuta kwenye mambo mazito tu" aliongea bibi yake Vumilia kwa utani huku akiachia tabasamu kwa mbali
"Nyie ndio viongozi wetu, lazima uwe na heshima sio kuwatafuta ovyo ovyo" alijibu nae kiutani
"mwanangu pole ujue mimi sikubaliani kabisa na swala la wewe kupotezwa ndio maana nimejitoa kuwasaidia. Baba yako ni rafiki wa mdogo wangu nimemuona tokea akiwa mdogo amekuwa kama ndugu yangu" alisema Shangazi Yame akiniambia mimi.
"sasa ili tujue damu yako ilipofichwa ni lazima mniletee ndege wawili aina ya "nyamasele" ( nyamasele ni jina la kisukuma kumaanisha ndege fulani ambao huwa wanapenda kukaa kwenye mabati ya nyumba)"
"sasa huyu ndege usiku huu tutamtoa wapi" niliwaza
"Sasa wewe mwanangu mr the dragon ndio utamfata huyo nyamasele. Nenda hadi kwa mwana Ndamu, ukifika angalia nyumba iliyo upande linalotoka jua halafu gonga mlango. Akitoka mwambie nimeagizwa Nyamasele na Yame. Nenda na hiyo fimbo usiiachie"
Japo nilikuwa naogopa kutembea peke yangu, ukizingatia mambo ambayo nimekuwa nikiyashuhudia siku za karibuni, lakini nilijua lile halikuwa ombi ilikuwa ni either ukubali utibiwe au uache ile kwako. Nilipiga hatua hadi kwa mwana ndamu nikafika nikagonga. Ni kama alikuwa ananisubiri nije haikuchukua muda akatoka nje, nilimueleza kama nilivyoambiwa, akanipa wale ndege wawili aina ya nyamasele nikarudi kwa bibi yake na Vumilia.
Nilivyofika nikamkabidhi, alichukua kisu akamchinja mmoja wa wale ndege. Alipomaliza akamtupa, akaanza kuiangalia ile damu iliyomwagika pale chini. Aliinyunyizia unga unga fulani mweupe kisha akaanza kuiangalia kwa umakini kama anasoma kitu. Baadae alimsogeza yule ndege akawa kama anamnukisha ile damu huku akiongea maneno maneno kwa sauti ya chini. Alipomaliza alimwangalia mzee Masele akamwambia
"Mfateni huyu atawapeleka hadi kilipo hicho mnachokitafuta,akamwachia Yule ndege chini, kuachiwa tu Yule ndege akaanza kupiga hatua tukawa tunamfata kwa nyuma"
Tukutane usiku saa nne hapa hapa.
AiseeeeInaendelea sehemu ya saba.

Kuna nyakati lazima washirikiane...hata wachawi huwategemea waganga kwa mambo Fulani Fulani ili wafanikishe.Dah
Ina maana Mchawi Yame na Mganga Masele wanashirikiana kwa ukaribi kabisa
Maama yake waganga na wachawi hufanya kazi pamoja, japo kwa siri
Mkuu kuna ile story ya dada aliyekua anafanya kazi za ndani akaopoa mfanya biashara masaki akazaa ane twins, nikumbushe ule uzi please. Yeyote anaekumbuka naomba anipe details.Hii stori inasisimua sana mkuu
Ukipata wasaa endelea nayo
Tunafuatilia...
Inaendelea sehemu ya saba.

Wacha gubu dada, jamaa alipitiwa na usingizi.Wsukuma mkiwa mnasimùlia stori zenu za uchawi wa kwenu huwa mna ringa sana, umesema tukutane saa nne usiku na sasa ni saa tisa usiku hamna kitu Ngoja niulete msukule wangu wa kutukana hadi uache tabis mbaya uje ukùshikishe adabu.
Chizi Maarifa hebu fika hapa fasta