Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

N kweli kabisa inaumiza, pole kaka. Ila nikuambie kitu wala usiumize kichwa songa mbele. Furah sababu unafuatiliwa na sote tunaosoma
Poa mkuu.

Inarusha sana steam mtu unashare story yako, halafu mtu anakwambia unacopy, bila proof yoyote.

Very boring!
 
Achana na Monica, hata kama kwenye hiyo story mnayoisema angekuwa Veronika vile vile, bado isingekuwa proof ya kusema ninamkopi mtu. Onyesha sehemu gani nimecopy?

Kwani majina ya watu siku hizi hayafanani?
Acha na upinde hao mkuu wewe leta stori sisi tutasoma
 
Nakumbuka kama sijasahau, kuna mtu alishawahi leta simulizi inafanania na hii ya kwako hata mazingira yana fanana. Yeye alikwenda kusoma sekondari kwa Baba yake mdogo ambaye alikuwa Mwalimu Mkuu wa shule huko Kanda ya Ziwa. Ila Kuna sehemu uliandika Veronica badala ya Vumilia ndio ikanistua kwani moja ya Muhusika wa hiyo simulizi alikuwa ni Veronica ambaye alimpenda huyo jamaa na Veronica naye alikuwa na uhusika wa Uchawi. Sikumbuki vyema ile simulizi ilikuwa inaitwaje labda Kuna wanayo Ikumbuka.
Hujui kuwa waandishi wa hizi makala wanatumia majina bandia hili kuficha kujulikana kwa wahusika?

Sasa kwenye majina ya kutunga kujikuta umeandika Veronica in place of Vumilia au vice versa ni kitu cha kawaida.

Shughulisha ubongo wako positively
 
Shukrani sana! Zinafanana kwa kiasi fulani
Nyie vijana ujuaji unawasumbua. Visa vya matukio ya kishirikina kwa nini visifanane wakati vyote vinagusu wasichana ambao ni wachawi kuwapenda wavulana ambao hawajui mambo ya uchawi?

Bahati mbaya sana nyie vijana mna exposure ndogo kwenye mambo ya kishirikina na uchawi. Japo sio kosa lenu, maana wengi wenu mmezaliwa na kukulia mjini ambako haya mambo huwezi kuyaona. Hivyo hamjui chochote na mnadhani ni chai kama ilivyo misemo yenu.

Ungekuwa hata unatambua kuwa kwenye familia ambazo zina mambo ya kichawi basi wasichana ndio hurithishwa kwa wingi usingeshangaa, na wengi huwa wanapenda wavulana ambao hawajui uchawi.

Halafu mbona hujasema hiki kisa kinafanana na yule alisimulia "Babu yangu kama mshikaji wangu"? Maana matukio ni ya kupendwa na kurogwa na mabinti wachawi hivi hivi
 
Mine story is very genuine.

Unapotoa tuhuma kama hii jitahidi basi angalau kuonyesha, zimefanana kivipi?

Mimi sio mtunzi wa story, najaribu kuelezea yale niliyoyapitia. Sasa unapotoa tuhuma za kukopi story ya mtu, onyesha zinafanana wapi?

Mbona hata mazingira unayoyazungumzia hayafanani, mimi sikwenda kusoma kwa baba mdogo na wala baba yangu hakuwa mwalimu.

Kuhusu majina, nilisema toka mwanzo majina yanayotumika kwenye hii story sio halisi. Hilo kosa la kuandika, jina la Veronika lilitokea kwa bahati mbaya tu, maana kuna muda unaandika unamfeel mtu hadi unasahau kumuandika kwa jina ulilompa. Na nimeshakosea majina zaidi ya mara moja ila nilikuwa naedit nikirudia kusoma. Hilo jina la Veronika sikuliona, mpaka mdau aliposema kwenye comment ndio nikarudi kusoma nikakuta kweli, sikuona haja ya kuedit maana wengi walikuwa wameshalisoma.

Ungekuwa na akili hiyo ilikuwa ni proof ya kuonyesha kwamba hii story ni genuine.

BTW hakuna anayekuomba usome hapa, ukiona nacopy unaweza kwenda kusoma huko ninakocopy. SIMPLE

You can get your crooked ass outta here. STUPID
Mkuu achana na wajuaji vilaza wa JF hiyo Stori wanayosema hata hazifanani na yako.. shusha vitu kuna wadau kibao wanasoma hii Stori na japo hawalike wala kukomenti... Kujua Hilo angalia watu wangapi wame view. Fid aliwahi kusema "japo miluzi ni mingi lakini jibwa sipotei..."
Tuko pamoja
 
Mine story is very genuine.

Unapotoa tuhuma kama hii jitahidi basi angalau kuonyesha, zimefanana kivipi?

Mimi sio mtunzi wa story, najaribu kuelezea yale niliyoyapitia. Sasa unapotoa tuhuma za kukopi story ya mtu, onyesha zinafanana wapi?

Mbona hata mazingira unayoyazungumzia hayafanani, mimi sikwenda kusoma kwa baba mdogo na wala baba yangu hakuwa mwalimu.

Kuhusu majina, nilisema toka mwanzo majina yanayotumika kwenye hii story sio halisi. Hilo kosa la kuandika, jina la Veronika lilitokea kwa bahati mbaya tu, maana kuna muda unaandika unamfeel mtu hadi unasahau kumuandika kwa jina ulilompa. Na nimeshakosea majina zaidi ya mara moja ila nilikuwa naedit nikirudia kusoma. Hilo jina la Veronika sikuliona, mpaka mdau aliposema kwenye comment ndio nikarudi kusoma nikakuta kweli, sikuona haja ya kuedit maana wengi walikuwa wameshalisoma.

Ungekuwa na akili hiyo ilikuwa ni proof ya kuonyesha kwamba hii story ni genuine.

BTW hakuna anayekuomba usome hapa, ukiona nacopy unaweza kwenda kusoma huko ninakocopy. SIMPLE

You can get your crooked ass outta here. STUPID
Hivi ni lazima kusoma si upite kushoto kama hauamini
 
Ndugu yangu hukupaswa Kutumia lugha isiyo na staha, kukuambia simulizi zinafafa kusikutoe kwenye mstari wewe tiririka na tukio lako. Hii simulizi yako nime ifanananisha na mtu aliyewahi kuiandika hapo mwanzo ikihusu mambo haya ya Ulozi!
 
uchunguzi wako wa kipuuzipuuzi uutoe hapa,usitake kutuharibia radha,,wengi wetu hiyo story tunaijua hakuna sehemu iliyokopiwa,,, halafu eti unajikuta kumtag umughaka ili aje kushuhudia anavyoibiwa mafaili, u*b*** wewe...
Unapojibu hakikisha unasoma kile nilichoandika, siku mtuhumu nimesema inafanania... halafu aliye 'Mtag' huyo msimulizi sio mimi. Punguza Wahaka acha Msimulizi atuletee burdani.
 
Huyu mwandishi ni mjinga story hii ame copy ndo maana anashindwa kuendelea kwa sababu kule inako postiwa imesimama usitake kutufanya sisi wajinga story hii umeitoa Facebook alafu unakuja kusema kuwa ni yako Acha upuuzi kabisa kama ni yako weka yote kwa wakati pasipo kumsubiri yule shelukindo wa Facebook apost
 
Tuweke link ya og story tuingie huko
 
Huyu mwandishi ni mjinga story hii ame copy ndo maana anashindwa kuendelea kwa sababu kule inako postiwa imesimama usitake kutufanya sisi wajinga story hii umeitoa Facebook alafu unakuja kusema kuwa ni yako Acha upuuzi kabisa kama ni yako weka yote kwa wakati pasipo kumsubiri yule shelukindo wa Facebook apost

Tupe link mkuu…maana mmezidi kwa upotoshaji
 
Huyu mwandishi ni mjinga story hii ame copy ndo maana anashindwa kuendelea kwa sababu kule inako postiwa imesimama usitake kutufanya sisi wajinga story hii umeitoa Facebook alafu unakuja kusema kuwa ni yako Acha upuuzi kabisa kama ni yako weka yote kwa wakati pasipo kumsubiri yule shelukindo wa Facebook apost
Mimi naona bora huyo aliyekopi stori akatuletea huku na sisi tuburudike kidogo kuliko wewe hakuna stori yeyote ulioleta huku ili na sisi tusitumia Facebook tuburudike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mwandishi ni mjinga story hii ame copy ndo maana anashindwa kuendelea kwa sababu kule inako postiwa imesimama usitake kutufanya sisi wajinga story hii umeitoa Facebook alafu unakuja kusema kuwa ni yako Acha upuuzi kabisa kama ni yako weka yote kwa wakati pasipo kumsubiri yule shelukindo wa Facebook apost
Acha ujuaji na usela mavi dogo.
 
Back
Top Bottom