Planet FSD
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 455
- 948
Saudia washapita mambo ya kwenda ovyo ovyo utadhan tupo karne ya 6. Nchi nyingi za kiarabu huwa israel na marekani zinachukiwa na kuitwa majina chungu nzima, lakini utashangaa kuona saudia, israel na marekani ni marafiki wakubwa sana😂😂na wanasaidiana vizuri sana kuwawinda magaidiSaudia arabia nchi ya kiisalmu ila anakitengo cha kuzuia ugaidi. sasa jiulize
Planet...Saudia washapita mambo ya kwenda ovyo ovyo utadhan tupo karne ya 6. Nchi nyingi za kiarabu huwa israel na marekani zinachukiwa na kuitwa majina chungu nzima, lakini utashangaa kuona saudia, israel na marekani ni marafiki wakubwa sana😂😂na wanasaidiana vizuri sana kuwawinda magaidi
Planet...
Mimi nitajuaje?
Kwa hiyo unatuambia kuwa ugaidi uko dunia nzima ila tanzania haupo?Planet...
Hili linafahamika.
Planet...Kwa utashi wako watu wanaovamia na kuua polisi wakiwa kwenye patrol afu wanaiba silaha wanaweza kuwa kina nani labda? Sawa hujui kuwa sio magaidi au majambazi, wanaweza kuwa labda wauza maduka wa pale kariakoo au makondakta wa dala dala?
Basi sawa ila naamini unamfahamu huyu bwana Abu Ubaidah Al Banshiri ambaye alikufa kwenye MV Bukoba.Planet...
Mimi sina ujuzi huo.
Basi sawa ila naamini unamfahamu huyu bwana Abu Ubaidah Al Banshiri ambaye alikufa kwenye MV Bukoba.
Sio mara ya kwanza tanzania kuhusishwa na ugaidi. Shambulio la 1998 magaidi wa kitanzania walihusika. Na kama watu wa al qaeda wanaweza kuja kujificha hapa lazima wana watu wanaowakaribisha na kuwahifadhi. Sasa ukionekana una misimamo mikali na unafundisha radicalism kwa vijana, watu watakuja kukutembelea ili wajiridhishe ni nini lengo lako. Mahakama kuweza kuthibitisha au kutothibitisha haimaanishi kuwa eti sio magaidi. Kuna majambazi na wezi huwa wanakamatwa na kesi wanashinda na mwisho wao huwa wanauliwa mitaani kwa sababu huwa wanashinda mahakamani kwa sababu ya loop holes za kisheria.
Watu walijaribu kuutingisha mbuyu hapa tanzania, circa 2014-16. Na wakashughulikiwa vizuri tu.
Sasa ulitaka wajilipue ndo tupate 100% kuwa huyu ni gaidi? By then tutakamata kitu gani? Wanawahiwa mapema. Ukiwa unajipublicize kuincite watu kuwa radical nadhani ni vema ukashughulikiwa mapema kabla hujaleta madhara.Je unafahamu kua watuhumiwa wa ugaidi wengi duniani kote hata wale waliopo Guantanamo kwa walau 85% hadi 90% hakuna ushahidi wa wazi uliothibitisha wa wao kujihusisha na ugaidi? Je unafahamu mafundisho ya Suni na Shia msingi wake ni nini?
Akili ndogo?yaani mimi nizidiwe na wewe akili!we endelea kujifariji.Umesahau zile za kuruhusu kunywa pombe ili upungukiwe akili? Umesahau zile za kupeana mkiwa ibadani,? Umesahau kauli ya kiongozi wenu kuruhusu ushoga? Afu akili yko ni ndogo sana, Madamu u katika ushirikina huwezi kuielewa Quran, kawaulize wasomi akina Prof. Amertus Keith Moore, ndo wanaijua Quran maan wanatumia akili sio ushawishi
Wamarekani ndo walichochea watu wakavamie vituo vya polisi kuua na kupora silaha? Wamarekani ndo walisababisha watu wakavamie patrol ya polisi na kuua polisi nane na kuwaua? Wamarekani ndo walisababisha watu waanze kuua viongozi wa vijiji huko Mkuranga, Kibiti na Rufiji?Pale lilipozaliwa Taifa la marekani 1776, likapitia misukosuko mingi na kujiimarisha hadi miaka ya 1940 kua kiongozi wa dunia na kujipa nafasi ya kiranja wa dunia na kuutawala kabisa mfumo wa fedha shida ilianzia hapo, watu wengi duniani husema marekani anavuruga amani ya dunia sio kwa bahati mbaya bali tafiti mbalimbali ziliwahi kuweka wazi hayo yote.
Wamarekani ndo walichochea watu wakavamie vituo vya polisi kuua na kupora silaha? Wamarekani ndo walisababisha watu wakavamie patrol ya polisi na kuua polisi nane na kuwaua? Wamarekani ndo walisababisha watu waanze kuua viongozi wa vijiji huko Mkuranga, Kibiti na Rufiji?
Tuwe sensible kidogo basi.
Wamarekani ndo walichochea watu wakavamie vituo vya polisi kuua na kupora silaha? Wamarekani ndo walisababisha watu wakavamie patrol ya polisi na kuua polisi nane na kuwaua? Wamarekani ndo walisababisha watu waanze kuua viongozi wa vijiji huko Mkuranga, Kibiti na Rufiji?
Tuwe sensible kidogo basi.
Kwahyo ukinywa pombe huko peponi (kunakosemekana kutakuwa na mito ya pombe) utakuwa hupungukiwi akili?😂😂Umesahau zile za kuruhusu kunywa pombe ili upungukiwe akili? Umesahau zile za kupeana mkiwa ibadani,? Umesahau kauli ya kiongozi wenu kuruhusu ushoga? Afu akili yko ni ndogo sana, Madamu u katika ushirikina huwezi kuielewa Quran, kawaulize wasomi akina Prof. Amertus Keith Moore, ndo wanaijua Quran maan wanatumia akili sio ushawishi
Enhe! Bora umesema. Kwahiyo tunakubaliana ule ulikuwa ni UGAIDI sivyo?Wewe kumbe uko kibiti ambapo kati ya watuhumiwa hata wakristo walikuepo au haulifahamu hilo?
We mzee magaidi wapo wa kila namna. Wakristo wapo, wasio na dini wapo. Ila majority ni muslim na hii ni kwa sababu ya mafundisho yao. Na wachochezi wa haya mambo ni viongozi. Anyways nisingependa sana tuuhamishie huu mjadala kuwa wa kidini. Ishu ni kwamba kilichokuwa kinaendelea MKIRU ni ugaidi. Tuelewane kwanza hiloHiyo hoja yako haihalalishi uujumuishe uislamu wote na ugaidi sawa na zamani watu walihusisha uislamu na ushoga lakini baada ya skendo za mapadre na maaskofu kuingilia kinyume watoto wadogo sijasikia watu wakirusha mawe kwa wenzao
We mzee magaidi wapo wa kila namna. Wakristo wapo, wasio na dini wapo. Ila majority ni muslim na hii ni kwa sababu ya mafundisho yao. Na wachochezi wa haya mambo ni viongozi. Anyways nisingependa sana tuuhamishie huu mjadala kuwa wa kidini. Ishu ni kwamba kilichokuwa kinaendelea MKIRU ni ugaidi. Tuelewane kwanza hilo
We mzee magaidi wapo wa kila namna. Wakristo wapo, wasio na dini wapo. Ila majority ni muslim na hii ni kwa sababu ya mafundisho yao. Na wachochezi wa haya mambo ni viongozi. Anyways nisingependa sana tuuhamishie huu mjadala kuwa wa kidini. Ishu ni kwamba kilichokuwa kinaendelea MKIRU ni ugaidi. Tuelewane kwanza hilo