Kisa cha ''magaidi'' wawili: Sheikh Ramadhani Rajab Chambuso na Sheikh Ahmada Kidege

Che...
Bahati mbaya sana sina ujuzi wa kuchambua tafsir ya aya za Qur'an.
Kwa hiyo siwezi kuingia katika mjadala.

Nawaachia wajuzi In Shaa Allah watakujibu.
 
Che...
Mimi ningependa tujadili tatizo la ugaidi nchini petu.

Kujadili ugaidi wa ugaidi wa dunia hilo nimelieleza kwa kirefu katika mhadhara niliofanya University of Ibadan mwaka wa 2006.

Nasisitiza tena soma.
Sawa
We umeuonaje ugaidi wa hapa petu kama unavyosisitiza.

Upo
Haupo
 
Hivi alievunja jumuiya ya waislamu afrika mashariki alikua nani? Au alieitoa Tanganyika kwenye jumuiya hiyo alikua nani na lengo ilikua nini hasa,
 
Kwakuwa wewe ni nani yani?
 
Mzee wangu, nakihitaji kitabubhiki kwa Lugha ya kiswahili, utaratibu ni upi?
 
Mpinga Ugaidi.
We unasemaje kwani
Bakieni huko huko kwenye nchi za Dini za kijinga kijinga.
Lau kama Uislaam isingekuwa dini ya mwenyeezi mungu, kama zilivyo zenu hizo za kufuata Kibubusa sheria na mila za Wapagani walokuiteni wakristo hapo Antiokia, na kwa jinsi ambavyo shetani wa marekani, waislael na Warumi na waitalia wanavyouchafua kupitia vinywa vyenu viovu, bhasi tungekwisha isha sote lakini Unajua nini? Allah anasema:

Hakika sis ndio tulioteremsha ukumbusho huu (wa Qur'an na Uislaam), na hakika sisi ndiyo tutakao ulinda" Al-hijr
 
Huyo Allah kwanini asitufanye wote tuwe Waislamu ?
Yaani awape nyinyi uislamu halafu sisi atunyime hiyo dini yake halafu aje atulaumu sisi tena kwa kutokuwa na dini ambayo hakutupatia.
Atakuwa hana Akili.
 
Mzee wangu, nakihitaji kitabubhiki kwa Lugha ya kiswahili, utaratibu ni upi?
Badee...
Ikiwa upo Dar es Salaam kitabu kinauzwa Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro, Manyema na Mtambani.

Bei elfu kumi tu.
 
Huyo Allah kwanini asitufanye wote tuwe Waislamu ?
Yaani awape nyinyi uislamu halafu sisi atunyime hiyo dini yake halafu aje atulaumu sisi tena kwa kutokuwa na dini ambayo hakutupatia.
Atakuwa hana Akili.
Mwenyeezi Mungu (Allah) hashindwi kutufanya wote watu wema au waovu aweza akitaka. Lakini anafanya kila mtu ampe uhuru wa kuchagua kwa kutumia akili yake, "๐’Š๐’Œ๐’Š๐’˜๐’‚ ๐’–๐’•๐’‚๐’•๐’–๐’Ž๐’Š๐’‚ ๐’‚๐’Œ๐’Š๐’๐’Š ๐’š๐’‚๐’Œ๐’ ๐’—๐’Š๐’›๐’–๐’“๐’Š ๐’๐’‚๐’›๐’Š๐’Ž๐’‚ ๐’–๐’‚๐’๐’ˆ๐’–๐’Œ๐’Š๐’† ๐’Œ๐’‚๐’•๐’Š๐’Œ๐’‚ ๐’–๐’Š๐’”๐’๐’‚๐’‚๐’Ž" ๐™‰๐™ช๐™ ๐™ช๐™ช: ๐™ˆ๐™˜๐™๐™ช๐™ฃ๐™œ๐™–๐™Ÿ๐™ž ๐™๐™ช๐™—๐™—๐™š๐™ฃ ๐™ˆ๐™ฌ๐™ž๐™จ๐™–๐™ซ๐™ž๐™ค๐™ง -- ๐™‰๐™ž๐™œ๐™š๐™ง.

Na ukiiacha akili yako ukaiweka mbali na Uhalisia, utajikuta unaangukia pasipo stahiki.

Allah hapendelei, na moja ya majina yake ni ๐—”๐—น-๐—”'๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—ฟ๐˜‚ - ๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ณ๐˜‚, hivyo anatuacha tutumie akili tufikiri kuhusu akili aliyotupa.

Si mada ila nakupa mfano wa kutafakari kidogo.
๐–๐š๐ง๐š๐ฌ๐š๐ฒ๐š๐ง๐ฌ๐ข ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐ฆ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฆ๐ค๐ž ๐š๐ฅ๐ข๐ฒ๐ž๐ฐ๐š๐ก๐ข ๐ค๐ฎ๐จ๐ฅ๐ž๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐š๐ค๐š๐ณ๐จ๐ž๐š ๐ค๐ฎ๐ฅ๐š๐ฅ๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐ฆ๐ž ๐ฐ๐š๐ค๐ž, ๐š๐ง๐š๐ก๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐ข๐š ๐ญ๐ž๐ง๐๐จ ๐ฅ๐š ๐ง๐๐จ๐š ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ ๐Ÿ๐Ÿ”, ๐ง๐๐š๐ง๐ข๐›๐ฒ๐š ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ ๐Ÿ๐Ÿ– ๐ณ๐š ๐ฆ๐ฐ๐ž๐ณ๐ข. Alafu unakuta kuna Dini inasema: Mwanamke akifiwa na Mme wake, hakuna kuolewa tena, yaani amekuwa mjane akiwa na umribwa miaka 28 mathalani, ataweza kweli kuvumilia mpaka walau afikishe miaka 40?? Kama si kuruhusu zinaa hapo? Mungu wa kutoabmaagizo hayo ni mungu hasiyetambua Maumbile ya Kiumbe chake, na hawezi kuwa mungu sahihi.

Ila mungu sahihi ni yule anaye kwambia Mke akifiwa na mme wake Anakaa eda ili kuondoa uhusiano baina ya mwili wake na mmewe marehemu kisha anakuwa mpya na kuolewa tena kuanzisha kwingine.

Real God who knows the Needs of his Creatures.

Samahani kama kuna sehemu nimekera

Badee..
 
Mimi sikereki kwa hoja za humu mkuu.
Najua wachangiaji wana mitazamo tofauti.
 
DUUH HILI CHAPISHO HUWEZI AMIJNI LEO NIMESOMA MWANZO MWISHO NIMEJIFUNZA MENGI UKWELI NA UONGO NDANI YAKE ila kwa wastani lugha inaridhisha kimjadala sijaona matusi na binafsi nasimama kuwa kila dini magaidi wapo.
 
Sheikh Mohammed Issa sijajua Hassan Banna Allah amsamehe aliyoyakosea wewe umemuelewaje maana twaona Maulamaa wakimsema kwa ubaya kwa uenezaji wake wa takfiir na hiyo imekuwa ni bendera iliyoharibu shabaab katika zama zetu tangu alipoasisi harakati zake mwaka 1926 kwa kumfanya rejea sheikh wake Mohammed suruur labda uniweke sawa maana sijakuelewa mkuu
 
Mkande,
Sijamzungumza Hassan Banna popote hapa.
 
Kwanza mtu alieelimika hawezi kuendeshwa na mitazamo ya dini.

Msomi ni mtu aliehuru kutafakari kila hatua ya maisha na jamii yake.

Msomi anaeshiriki katika uharifu huyo kashiriki kwasababu ya "usomi" wake.

"Usomi/Ujuzi ndio kigezo kilichomfanya ashirikishwe kwenye uharifu husika.

Jamii ya sasa, jamii ya dunia kuwa kama kijiji kimoja hatutaraji kuona tabia za 'kipindi cha dini kushika hatamu'.

Kipindi ambacho viongozi wa dini walikuwa viongozi wa serikali pia. Kipindi ambacho dini na serikali zilifungamanishwa pamoja. Kipindi hiko, usingeliweza kuwa kiongozi wa serikali bila kuhusika katika uongozi wa dini.

Mataifa kama Afghanistan, Iraq, Iran ambayo bado mfumo wa uongozi wa serikali umefungamanishwa na dini.

Huyu mzee said, nilishampuuza kitambo. Na lolote limkute. Mzee mbinafsi sana, kwasababu familia yake haikuingizwa kwenye 'mfumo' baada ya Uhuru basi mfumo huo ni batili na haupaswi kuungwa mkono.



Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ