Kisa cha ''magaidi'' wawili: Sheikh Ramadhani Rajab Chambuso na Sheikh Ahmada Kidege

Nchi hii wanaoleta matatizo ni wakristo. Walianza kwa kuivamia Zanzibar na kuuwa maelfu ya watu chini ya kinara wao Laanatullahi Nyerere.

Na mpaka leo vita wanaiendeleza kwa kulazimisha kuweka kibaraka wao kila uchaguzi unapofika .

Hivi vita dhidi ya uislamu haviwezi kuisha kwani wakristo wanalazimisha waislamu waingie kwenye dini yao kwa kutumia mbinu badala ya hoja , kwani hawana .
We ni mpumbavu usiyestahili kujibiwa, huko masjidi mnafundishwa chuki na roho mbaya tu badala ya kupata elimu dunia na kutafuta pesa!
Huko Zenji walichinjwa maelfu ya watu kabla ya uhuru na aliyewachinja alikuwa Sultan wa Oman mnayemuabudu lkn hamjawahi kufungua vinywa vyenu kukemea!
Baada ya Kifo cha Nyerere mmeshapigana mara kibao wenyewe kwa wenyewe mkibaguana Waunguja na Wapemba na hata Waunguja kusema kamwe hawawezi kumpa nchi Mpemba ambaye kwao ni kibaraka wa Sultani lkn hilo hulioni pia, unamuona Nyerere tu!
Msipofuta huo ujinga vichwani mwenu mtaendelea kuwa daraja la pili katika nchi hii, wenzenu wanapambana kuwasomesha watoto wao na kuwarithisha ujuzi utakaowakomboa kiuchumi na fikra nyie mnawapandikiza chuki wanenu ili waje kuwa magaidi!
KUPANGA NI KUCHAGUA
 
Mzee unamtizamo wa upande mmoja tu.
Labda kama unaizungumzia Tanzania pekee.

Dunia na Africa tunawashuhudia baadhi ya magaidi wakijambulisha wenyewe kabisa kuwa ni Wakiislamu na wapo kwa ajiri ya kulinda maslahi ya Uislamu.

Moja ya makundi maarufu yaliyoko Africa ni ASIS, Boko haram, Al-,Qaida na Al-Shabab.

Mzee una uhakika kuwa hakuna mwislamu mtanzania ambaye yupo kwenye hayo makundi ?

Makundi ambayo yanawafuasi katika nchi zote za Kiafrika na hasa zenye Waislamu wengi.

Kama watanzania wapo, je wanatambulika kwa alama gani ?

Kama huwezi kuwatambua, ni vipi ueleze kuwa watu flani hawawezi kuwa magaidi ?

Hali yakuwa hawana alama rasmi ?

Ukimtizama gaidi usoni au anavyo ongea unaweza kumtambua ?

Tanzania kama nchi nyingine za afrika ina baadhi ya raia wake kwenye makundi karibu yote yanayo jiita waislamu wenye itikadi kali, yaani magaidi.

Serikali inayo mamlaka ya kumkamata mtu yetote atakayeshukiwa kuwa na kosa lolote lile na kumhoji, ikiwemo kosa la ugaidi.

Ninacho penda kuongea ni kwamba.
Nyumba za ibada zifundishe maadili mema kati yao wenyewe na wao na majirani zao.
Wazee kama Mzee wetu kipenzi
saidi,
tuendelee kuwapa mafundisho ya kutenda mema wajukuu zetu na jamii kwa ujumla.

Swala la nani ni nani tuziachie mamlaka husika zenye nguvu ya kufanya uchunguzi.

Ila kumbuka Mzee kuwa.
sio wenye hatia wote hupewa adhabu na serikali.

Wengine huachiwa baada ya kuona wanaonesha nia ya kutubu yaani kujutia makosa yao na kuahidi kuto yarudia.
Che...
Nimeeleza mwanzo kabisa wa paper yangu kuwa Tanzania haina ugomvi na Wamarekani.

Ikiwa kuna watu kutoka mataifa mengine yanapambana na Marekani wenyewe Waamerika watajua chanzo cha uadui huo.

Waislam wa Tanzania tunahusika vipi na uadui huo?

Wamekamatwa Waislam hapa nchini baada ya sheria ya ugaidi kupitishwa.

Ushahidi haukupatikana kama wao ni magaidi.

Kama upo ushahidi wakamatwe wahukumiwe mahakamani.

Hili limeshindikana.
 
We ni mpumbavu usiyestahili kujibiwa, huko masjidi mnafundishwa chuki na roho mbaya tu badala ya kupata elimu dunia na kutafuta pesa!
Huko Zenji walichinjwa maelfu ya watu kabla ya uhuru na aliyewachinja alikuwa Sultan wa Oman mnayemuabudu lkn hamjawahi kufungua vinywa vyenu kukemea!
Baada ya Kifo cha Nyerere mmeshapigana mara kibao wenyewe kwa wenyewe mkibaguana Waunguja na Wapemba na hata Waunguja kusema kamwe hawawezi kumpa nchi Mpemba ambaye kwao ni kibaraka wa Sultani lkn hilo hulioni pia, unamuona Nyerere tu!
Msipofuta huo ujinga vichwani mwenu mtaendelea kuwa daraja la pili katika nchi hii, wenzenu wanapambana kuwasomesha watoto wao na kuwarithisha ujuzi utakaowakomboa kiuchumi na fikra nyie mnawapandikiza chuki wanenu ili waje kuwa magaidi!
KUPANGA NI KUCHAGUA
Łete jina la mtu mmoja tu aliyeuwawa na Sultani au kuchukuliwa Mali yake au kubambikizåiwa kesi au kuibiwa kura yake ? Laanatullahi Nyerere alimuuwa mwafrika Karume,Hanga, Mdungi Usi, Jaha Ubwa,Othman Sharifu,Twala na maelfu ya watu
 
Che...
Nimeeleza mwanzo kabisa wa paper yangu kuwa Tanzania haina ugomvi na Wamarekani.

Ikiwa kuna watu kutoka mataifa mengine yanapambana na Marekani wenyewe Waamerika watajua chanzo cha uadui huo.

Waislam wa Tanzania tunahusika vipi na uadui huo?

Wamekamatwa Waislam hapa nchini baada ya sheria ya ugaidi kupitishwa.

Ushahidi haukupatikana kama wao ni magaidi.

Kama upo ushahidi wakamatwe wahukumiwe mahakamani.

Hili limeshindikana.
I.
Ila tambua jambo moja Mzee.
Makundi ya kigaidi ya Kiislamu yapo kama hayo niliyoyataja.

Na hayo makundi yana kipato cha pesa toka kwa wafadhiri wao.

Na jamii ya kwanza kwa hayo makundi kuishawishi kujiunga nayo ni vijana wa Kiislamu.

Serikali kuto kudhibitisha uwepo wa magaidi sio kwamba hakuna magaidi.

Na sio kosa kwa serikali kuwashikilia watu wanao tuhumiwa kujiingiza kwenye ugaidi.
===========================
2.
Labda utueleze kama unadhani kuna jamii flani (waislamu) wanaonewa ni kwanini waonewe wao tu na sio wengine.

Tena utakuwa wakati fulani viongozi kalibu wote wa ngazi za juu wa kitaifa ni Waislamu wenzenu na huku baadhi ya Waislamu wanaendelea kushikwa kwa tuhuma za Ugaidi.

Hapo unatubia nini ?
 
Waislam mtalalamika na kujitetea sana lkn ukweli utabaki pale pale kwamba kuna shida mahali juu ya imani yenu. Kwamba kweli tangu Nyerere muonewe nyinyi tu? Wamepita marais waislam wenzenu bado wamewatia ndani kwa kesi hizi hizi.

Kwa muislam ambaye anapata nafasi ya kutafakari bila kuegemea imani yake lazima atakubaliana na mimi kwamba kuna tatizo mahali huko kwenye Uislam
 
I.
Ila tambua jambo moja Mzee.
Makundi ya kigaidi ya Kiislamu yapo kama hayo niliyoyataja.

Na hayo makundi yana kipato cha pesa toka kwa wafadhiri wao.

Na jamii ya kwanza kwa hayo makundi kuishawishi kujiunga nayo ni vijana wa Kiislamu.

Serikali kuto kudhibitisha uwepo wa magaidi sio kwamba hakuna magaidi.

Na sio kosa kwa serikali kuwashikilia watu wanao tuhumiwa kujiingiza kwenye ugaidi.
===========================
2.
Labda utueleze kama unadhani kuna jamii flani (waislamu) wanaonewa ni kwanini waonewe wao tu na sio wengine.

Tena utakuwa wakati fulani viongozi kalibu wote wa ngazi za juu wa kitaifa ni Waislamu wenzenu na huku baadhi ya Waislamu wanaendelea kushikwa kwa tuhuma za Ugaidi.

Hapo unatubia nini ?
Che...
"Karibu" si "kalibu."
Mjadala unataka uwe na mipaka ya majadiliano.

Unazungumza ugaidi dunia nzima mimi nazungumza ugaidi Tanzania.

Ungechukua tabu ya kusoma paper yangu ungekuwa unayo majibu yote ya hoja unazoleta hapa.
 
Ni ngumu sana kutenganisha uislamu na ugaidi
 
Che...
"Karibu" si "kalibu."
Mjadala unataka uwe na mipaka ya majadiliano.

Unazungumza ugaidi dunia nzima mimi nazungumza ugaidi Tanzania.

Ungechukua tabu ya kusoma paper yangu ungekuwa unayo majibu yote ya hoja unazoleta hapa.
Kwa maoni yako ni kwamba hakuna ugaidi Tanzania. na wanao shukiwa wanakuwa sio magaidi bali ni chuki dhidi yao tu.

Kwakuwa hakuna aliyewahi kuthibitishwa na Mahakama za Tanzania kuwa ni gaidi.
 
Soma maisha ya Sheikh Chambuso na maisha ya Mwalimu Ahmada.

Jibu lako liko hapo.
Makala zote zipo hapa JF.
 
Mzee acha kutubrainwaish kama vijana wenu wadogo mnaowadanganya waende wakapigane jihadi al qaeda na al shabab. Watu kama nyie mnaokataa ukweli ndo tatizo mnafanya wote msiaminike. Ukweli ni kwamba , ugaidi Tanzania ulikuwepo sana. Na ni Mwendazake ndo aliukomesha. Acheni kubrainwash watoto wenu kwenda kujitoa mhanga.
 
Kibiti, Rufiji na Mkuranga kulikuwa hapakaliki kwa mambo mliyokuwa mnayafanya. Mliposhughulikiwa ndio mkanyooka. Wapo masheikh wengi sana wanaswali vizuri na kwenda nyumbani kuendelea na mambo mengine. Sio kuitisha vijana kuwapa mafunzo ya jihad, na kupokea misaada ya kifedha ili kufanya mambo yenu ya ovyo. Sasa kama hao walikuwa wanaonekana sio magaidi ni kwa vile wewe hukuwa na intelligence. Waliowakamata huenda wanawafahamu vizuri. Maimam wa aina hii wapo wengi sana hapa duniani na mifano ni mingi tu. Kazi kubrainwash vijana afu mbele za watu wanajionesha kama watu wa maana. Hakuna kijana mdogo anayebadilika kuwa gaidi on his own. Lazima ana influence ya sheikh au imam fulani.
 
Mzee acha kutubrainwaish kama vijana wenu wadogo mnaowadanganya waende wakapigane jihadi al qaeda na al shabab. Watu kama nyie mnaokataa ukweli ndo tatizo mnafanya wote msiaminike. Ukweli ni kwamba , ugaidi Tanzania ulikuwepo sana. Na ni Mwendazake ndo aliukomesha. Acheni kubrainwash watoto wenu kwenda kujitoa mhanga.
Planet,
Una haki ya kuamini upendacho.
Mimi nimekueleza ukweli niujuao kuhusu ugaidi Tanzania.
 
Planet,
Una haki ya kuamini upendacho.
Mimi nimekueleza ukweli niujuao kujusu ugaidi Tanzania.
Kiukweli Mzee hujaeleza chochote kuhusu ugaidi hapaTanzania, zaidi ya kusema hakuna ugaidi kwakuwa hakuna mahakama iliyomtia hatiani gaidi yoyote mtanzania na huku ukikiri kuwa Mwalimu Ahmada alifungwa na mahakama hizo hizo kwa kosa la Ugaidi.
Hapo ndipo penye sinto fahamu.

Unamaanisha huyo Mwalimu Ahmada pia alionewa na mahakama kwakuwa tu ni mwislamu.
Hapo unahitimisha kuwa, hapa Tanzania hajawahi kutokea gaidi mwislamu.

Kwa mawazo hayo basi inabidi utuambie kwanini waislamu washukiwe na tuhuma za ugaidi bila sababu.
Kwakuwa umeishi sana na ni msomi basi hebu tupe kilicho upande wa pili wa pazia.

Ni kwanini mwislamu hawezi kuwa gaidi ?
Na kwanini mwislamu anasingiziwa ugaidi ?
 
Unasema sijaeleza chochote kuhusu ugaidi hapa Tanzania.
Tatizo ninaloliona kwako ni kuwa hauko makini wa kusoma.

Nimeandika paper nzima niliyowasilisha Univeristy of Ibadan na nikekuwekea hapa.

Nimeeleza mengi kuhusu ugaidi kimataifa na jinsi Tanzania inavyoguswa na tatizo hili.

Sasa ikiwa wewe ni mvivu wa kusoma unataka kuja hapa kubishana itakuwa tunapoteza muda.

Soma tena historia ya waalimu hawa wawili vijana - Rajab Ramadhani Chambuso na Ahmad Kadege.

Wote hawa wawili hakuna aliyekutwa na kosa la ugaidi.
Ahmada hakufungwa wala Chambuso wote waliachwa huru na mahakama.

Wamekamatwa na kuwekwa rumande kwa dhana tu kuwa ni magaidi lakini hawa ni waalimu wa madrasa wanasomesha watoto wadogo Qur'an.

Hawa vijana mimi nimeishi nao Tanga kwa miaka 15 na mji mzima sifa yao ni walezi wa watoto na vijana na wakisomesha Islamic Knowledge katika shule za sekondari.

Sheikh Chambuso alipokuwa rumande Handeni alikutana na wanafunzi wake aliowasomesha dini pale gerezani wakiwa askari jela.

Hayo maswali mengine uliyouliza yote hayana maana kwani yanajibiwa na hayo maelezo yangu hapo juu.

Mtu ana uhuru wa fikra na dhana zake hakuna wa kumzuia.

Narudia tena ikiwa unataka kuwa na elimu jifunze kusoma kile unachotaka kujadili huwezi kujadili usichokijua.

Soma paper hiyo hapo chini link nimekupa:

ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT
8th– 10th FEBRUARY 2006

Venue
University of Ibadan Conference Centre

Organised by Department of Arabic and Islamic Studies

UNIVERSITY OF IBADAN
NIGERIA

‘TERRORISM’ IN EAST AFRICA: The Tanzanian Experience
 
Mzee wangu Tutasugua sana kuwaelimisha watu waliomezeshwa sumu ya chuki za kidini alafu wkawa hawajuhi kama wao ni wadini. Ila Tamaa tusikate They have to know how Islaam is so beautiful regardless wanauchafuaje. Ukweli ni kuwa kauli ya waswahili ya: "𝙏𝙚𝙣𝙜𝙚𝙣𝙚𝙯𝙖 𝙪𝙬𝙤𝙣𝙜𝙤, 𝙠𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙪𝙩𝙖𝙣𝙜𝙖𝙯𝙚 𝙩𝙖𝙣𝙜𝙖𝙯𝙚, 𝙝𝙖𝙩𝙞𝙢𝙖𝙮𝙚 𝙪𝙬𝙤𝙣𝙜𝙤 𝙝𝙪𝙤 𝙪𝙩𝙖𝙜𝙚𝙪𝙠𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙪𝙠𝙬𝙚𝙡𝙞 𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙪 𝙬𝙖𝙩𝙖𝙪𝙠𝙪𝙗𝙖𝙧𝙞" hii inafanya kazi katika vichwa vingi vya jamaa hawa, na ni kwa mbinu hii tu waafrika waliaminishwa na Nyerere kuhusu uovu wa Amin Idd wa Uganda. Hivyo Mzee Said Mohamed, naamini bado utaendelea kutufunza bila kujali wanaelewa au wanapinga tu bila kusoma.

Zingatia maneno ya 𝗣𝗿𝗼𝗳. 𝗔𝗹𝗱𝗼𝘂𝘀 𝗛𝘂𝘅𝗹𝗲𝘆 hapo chini kwenye icha
IMG_20221227_153955_823.jpg
 
"𝙏𝙚𝙣𝙜𝙚𝙣𝙚𝙯𝙖 𝙪𝙬𝙤𝙣𝙜𝙤, 𝙠𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙪𝙩𝙖𝙣𝙜𝙖𝙯𝙚 𝙩𝙖𝙣𝙜𝙖𝙯𝙚, 𝙝𝙖𝙩𝙞𝙢𝙖𝙮𝙚 𝙪𝙬𝙤𝙣𝙜𝙤 𝙝𝙪𝙤 𝙪𝙩𝙖𝙜𝙚𝙪𝙠𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙪𝙠𝙬𝙚𝙡𝙞 𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙪 𝙬𝙖𝙩𝙖𝙪𝙠𝙪𝙗𝙖𝙧𝙞"

Uzuri wa siku hizi kuna CCTV cameras. Na hata hazimilikiwi na serikali. Ni za wananchi kwa hiyo matukio yenu yanaonekana live kabisa😂😂😂😂hamna hata cha kuzugia.

Enzi za amin hakukuwa na cameras. Attacks za paris na london zimeonesha.

Hakuna anaewachukia. Acheni kuharibu watoto wenu na vijana wenu kwa kuwafundisha ugaidi.

ACHENI KUUITA UGAIDI JIHAD. Acheni kuharibu watoto na ideas za kijinga. Afu kwanini maimam huwa hamuendi kujilipua wenyewe? Instead mnabrainwash watoto to do your bidding.

Ukiangalia Netflix documentary kuhusu Barcelona attack, uwasikie wamama wenye watoto wao waliofanya lile tukio ndo utajua kama ugaidi mnafanya au hamfanyi. Acheni kuzuga. Badilikeni
 
Mzee wangu Tutasugua sana kuwaelimisha watu waliomezeshwa sumu ya chuki za kidini alafu wkawa hawajuhi kama wao ni wadini. Ila Tamaa tusikate They have to know how Islaam is so beautiful regardless wanauchafuaje. Ukweli ni kuwa kauli ya waswahili ya: "𝙏𝙚𝙣𝙜𝙚𝙣𝙚𝙯𝙖 𝙪𝙬𝙤𝙣𝙜𝙤, 𝙠𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙪𝙩𝙖𝙣𝙜𝙖𝙯𝙚 𝙩𝙖𝙣𝙜𝙖𝙯𝙚, 𝙝𝙖𝙩𝙞𝙢𝙖𝙮𝙚 𝙪𝙬𝙤𝙣𝙜𝙤 𝙝𝙪𝙤 𝙪𝙩𝙖𝙜𝙚𝙪𝙠𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙪𝙠𝙬𝙚𝙡𝙞 𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙪 𝙬𝙖𝙩𝙖𝙪𝙠𝙪𝙗𝙖𝙧𝙞" hii inafanya kazi katika vichwa vingi vya jamaa hawa, na ni kwa mbinu hii tu waafrika waliaminishwa na Nyerere kuhusu uovu wa Amin Idd wa Uganda. Hivyo Mzee Said Mohamed, naamini bado utaendelea kutufunza bila kujali wanaelewa au wanapinga tu bila kusoma.

Zingatia maneno ya 𝗣𝗿𝗼𝗳. 𝗔𝗹𝗱𝗼𝘂𝘀 𝗛𝘂𝘅𝗹𝗲𝘆 hapo chini kwenye ichaView attachment 2464096
Labda uzungumze kuhusu tanzania.
Duniani na Afrika kwa ujumla kote huko baadhi ya waislamu wanakamatwa kwa tuhuma za ugaidi wa kidini.

Unasikia kinacho endelea Nigeria Somalia, Kenya, Msumbiji nk.

Hivi kwa mawazo yako huko kote Waislamu wanaonewa kwa chuki za kidini ?

Abdalah Shakeu kule Nigeria mwislamu anatangaza hadharani kuwa yeye ni kiongozi wa Magaidi wa Boko Haram.
Moja ya tukio alilolifanya ni kuwateka wasichana wa secondari.

Naye anaonewa ?
Alshababu wa Somalia ni Waislamu wenyewe wanasema hivyo nao wanaonewa ?

Muhamedi ghailan mtanzania mwislamu Mahakama za Marekani zilithibitisha kuwa ni Gaidi na kuhusika kuulipua ubarozi wa Marekani naye alionewa ?

Tukio la Garisa Kenya Watanzania Waislamu walikamatwa live wakiwaua wanachuo kwa maslahi ya Al-Shababu nao walionewa ?

Au wanatakiwa wakamatwe nje ya nchi ndio watakuwa wanatendewa haki ?

Nani alikuwa anamjua Hamza Muhammedi (mwislamu) pamoja na upole wake na kuwa mwanachama wa CCM kuwa alikuwa na mafunzo ya Ugaidi hadi alipo amua kuua Polisi hadharani.

Matendo ya kigaidi ya Kibiti, Kilwa, Mkuranga Amboni Tanga, yote yalitokea kwanye Jamii ya Kiislamu. Magaidi wa kiislamu walijificha huko kwa mgongo wa Uislamu.

Ukweli ni kwamba hayo makundi ya kigaidi ya kiislamu yanawafuasi wake hapa Tanzania ambao ni waislamu.

Mwezi wa 10 mwaka 2022, Polisi huko Zanzibar ilitoa onyo la Vijana wa kizanzibari kuto kushawishiwa na vikundi vya kigaidi kwenda kuchukua mafunzo ya ugaidi baada ya vyanzo vya upeleleze kubaini ushawishi huo.

{Waislamu tengenezeni kizazi kinacho tambua kuwa watu wote wana haki sawa ya kuishi hapa duniani. Kama kuna madai ya kisiasa ziko njia sahihi za kudai ama kwa kutumia wawakilishi kama wabunge au kujiunga na vyama hivyo.

Hadi sasa mimi sioni umuhimu wa kauli za kujiandaa na vita vya Jihadi kunakofunshwa na baadhi ya Mashehe wa Kiislamu.
Jihadi dhidi ya nani ?

Hizi kauli za Waislamu kuonewa bila kitoa uonevu wenyewe ni moja ya vyanzo vya vita vya kulinda jamii flani ya kidini isionewe na ndio Ugaidi wenyewe}

Somesheni kizazi chenu kijikwamue na Ujinga wa kufikiria JIHADI katika hii dunia ya sayansi na technolojia.
 
Hawa mabwana walishatufikisha hapa 👇🏾

Bila Mwendazake kusimama kidete na kuwashughulikia, leo hii tungekuwa na hali mbaya sana aisee.
 
Che...
Ungesoma paper niliyotoa University of Ibadan ungepata majibu yote ya hayo uliyosema hapa.

Vijana gani wa Kiislam walio magaidi?
Unajenga hoja kwa kijana mmoja aliye Garissa?

Usiingie uvivu.

Umelileta swali hili la ugaidi soma paper yangu.

Kwa nini Mahakama za Tanzania hazijatoa adhabu kwa watuhumiwq wa ugaidi?

Soma paper ujue upande wa pili wa kadhia hii.

Hii paper ndiyo iliyosababisha Wamarekani waifahamishe serikali msimamo wa baadhi ya Waislam kuhusu dhana ya Ugaidi nchini na ikapelekea mimi kuzuiwa uwanja wa ndege kwa mahojiano na vyombo vya usalama.
Nilichogundua kweli ibilisi yupo,ikiwa tunaona jamii za kiislam zikiwasifu magaidi misikitini na wengine tumeona wakibandika picha zao kwenye magari kuwatukuza hii hoja ya kuukataa ugaidi inatoka wapi?ni nguvu ya kishetani si bure tunawasikia sana kwenye majumuiko yenu.
 
Hawa mabwana walishatufikisha hapa [emoji1484]

Bila Mwendazake kusimama kidete na kuwashughulikia, leo hii tungekuwa na hali mbaya sana aisee.
Mzee saidi, sifahamu kuwa kwa kuishi kwako kwingi hafahamu hii habari.
Mzee kwa kuishi kwako kwingi ilibidi ushiriki kati kuzuia hii jamii kufundisha mambo ya Jihadi za kidini
Badala yake ungetunia kalamu yako kujenga kizazi chenye ustaarabu kuendana na ustaarabu wa dunia wa karne hii.

Kitendo cha mwislamu kufumbia macho haya matendo na kujificha kwenye baadhi ya waislamu kuonewa ni kuunga mkono hayo matendo.
 
Back
Top Bottom