Tetesi: Kisa cha Magreth Kobelo kuwa kwenye 18 za TAKUKURU ni kumchangia Tundu Lissu

Tetesi: Kisa cha Magreth Kobelo kuwa kwenye 18 za TAKUKURU ni kumchangia Tundu Lissu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1553798726442.jpeg
Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
 
..upinzani siyo mahali salama kwa watu wenye makando-kando.

..hili suala sijui kwanini waTz hawapendi kulielewa.

..kama mtu anajua ana mambo yake ameficha ambayo yanaweza kumtia ktk matatizo na dola basi asijihusishe kabisa na upinzani.
 
View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?

Sina hakika na usahihi wa habari yako...inawezekana unajaribu tu kupata maoni...au unasambaza uongo mitandaoni, jambo ambalo ni baya sana...lakini kwa upande mwingine kama ni kweli kwanini huyo shangazi alifanya hivyo...
 
Tuache ramli zisizo na mashiko, huyo mama na mumewe wana historia chafu ya wizi na dhurma.

Hata Escobar alijenga makanisa. Rugemalila alitoa mihela kibao kusaidia wahitaji but source ya hizo pesa ndo shida!

Sent using Jamii Forums mobile app
And clever people think their history can be erased that easily, to allow their political evil whims to become the reality
 
Back
Top Bottom