Tetesi: Kisa cha Magreth Kobelo kuwa kwenye 18 za TAKUKURU ni kumchangia Tundu Lissu

Tetesi: Kisa cha Magreth Kobelo kuwa kwenye 18 za TAKUKURU ni kumchangia Tundu Lissu

Tuache ramli zisizo na mashiko, huyo mama na mumewe wana historia chafu ya wizi na dhurma.

Hata Escobar alijenga makanisa. Rugemalila alitoa mihela kibao kusaidia wahitaji but source ya hizo pesa ndo shida!

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimsingizie Mzee wa watu Ruge... Mbona mpaka sasa wameshindwa kumuundia kesi!!?
 
View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?

Kwani ni kosa kumchangia Mh Lissu?

Kama sababu pekee ni hiyo sioni kuwa ana shida yoyote.
.
Lakini najua tatizo litakuwa kubambikiziwa ushahidi wa kupikwa na kupotezeana muda.

Inawezekana pia alikuwa anatafutwa kwa muda mrefu, kumchangia Lissu kikawa kikorezo tu cha kumalizia kazi.

Atakuwa ame-'miscalculate' ile mbaya kufanya kosa kama hilo la kuchanga Lissu!

Sijui alikuwa anafikiri nini!
 
..upinzani siyo mahali salama kwa watu wenye makando-kando.

..hili suala sijui kwanini waTz hawapendi kulielewa.

..kama mtu anajua ana mambo yake ameficha ambayo yanaweza kumtia ktk matatizo na dola basi asijihusishe kabisa na upinzani.
Una maana CCM ndo mahali salama kujificha kukwepa mkono wa dola? Ndo maana wenye chama chao wanatumia kila mbinu kuhakikisha wanaendelea kuneemeka kwa gharama yoyote.
 
View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
Aisee, Mhutu na watu wake pumbavu sana yan!
 
View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
Basi ajisalimishe..tundulissu ana wanasheria ngulu ambao ni rafiki zake dunia nzima..wajitokeze wamtetee..mmeshikwa pabaya mwaka huu..pengine ndio we mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
Siku nyingi nimekuwa nikisikia wanawake hampendani, lakini sasa naamini, kwa bandiko hili, kwa sisi wasomaji wa in between the lines na the motive behind, tumekuelewa.

Hata Halima Mdee alipoadhibiwa na Spika, kufungiwa kuhudhuria vikao, aliyemchongea ni mbunge mmoja wa vitu maalum wa CCM mwenye usongo sana na Chadema, na hata baada ya kuadhibiwa, alisimama bila aibu kuomba aongezewe adhabu.

Hivi kwanini wanawake huwa hampendani, mnapata faida gani to add an insult to an injury?.
P
 
Naona una lengo la kumharibia Tundu Lissu. Kuwa anafadhiliwa kwa pesa haramu za watakatishaji.
 
Kama mtu mhalifu akitoa msaada uhalifu wake siyo issue tena? Umesahau ya Singasinga?
Niliangalia Athuman Diwani na timu yake walivyokuwa wamevamia ile nyumba ya huyu Dada na wakawa wanakalia makochi na viti vya kifahari. Wanaonesha mjengo ulivyo wa thamani nikajua it is something that is not evident and tangible. Sema wanajua watanzania tumejaa roho ya kimaskini hivyo wataamini kwa kuona kasri hilo tu. Wewe Mzee mwanakijiji hukumbuki stori ya masamaki wa TRA eti ana majumba na madolari... Kapewa kesi but finally alishinda kesi, serikali haina ushahidi..
Heri wewe uliyepo marekani huwezi kuhisi kinachofanywa na kinavyoharibu Tz njema. Muda utasema.
 
Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?

Hebu subiri, mbona sielewi?

Huyu mtu alikuwa na kesi mahakamani, halafu katoroka?

Mbona ni kama mahakama ndio inayomfungulia kesi, na sio Takukuru!

Mwenye kuelewa hili asaidie.
 
hizi habari za kumchangia Lissu zinasambaa km moto wa mabua
Jana tu Lissu kamwandikia Spika akimuomba arejeshewe Mshahara wake, hizo Bilioni za Magreth Kobelo Gonzaga ndio iwe kisa? huyo mumewe aliyeko ndani km miaka miwili ndani hakumchangia Lissu mpaka amtume mkewe aliyeko Canada kitambo?
ACHENI UONGO
Kwani mke wa nani na alikuwa na wadhifa gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom