Tetesi: Kisa cha Magreth Kobelo kuwa kwenye 18 za TAKUKURU ni kumchangia Tundu Lissu

View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
hata Mo sababu ni hiyo hiyo pamoja na mambo.mengine
 
Kumbe hizi ndo aina za watu wanaomchangia mgombea URAIS wetu mwakani?
Hata mtukufu malaika toka chato kabla ya kuwa Rais alinunua kivuko feki akaweka pesa akiba na pia akapiga bilion 251 wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa na hizo pesa ndizo zilitumika kumwingiza ikulu
 
View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
na wewe mto mada sio mada block inakusubiri hapa jf[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umesoma shule au una nakisi ya uelewa?Unajua sheria ya kutakatisha pesa wewe?mtu ameiba pesa na ushahidi upo wazi nyie majuha mnaleta propoganda! Shame on you ufipa
View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umesoma shule au una nakisi ya uelewa?Unajua sheria ya kutakatisha pesa wewe?mtu ameiba pesa na ushahidi upo wazi nyie majuha mnaleta propoganda! Shame on you ufipa

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ufala wewe mshamba mbona walioiba trilion 1.5 hamjawagusa? Waliotafuna 10% ununuzi wa ndege wapo wapi?
 
View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
Ni mwizi tu, awamu hii hakuna pesa rahisi, ya jasho ule kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mtukufu malaika toka chato kabla ya kuwa Rais alinunua kivuko feki akaweka pesa akiba na pia akapiga bilion 251 wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa na hizo pesa ndizo zilitumika kumwingiza ikulu
Unajibu swali gani kamanda?
 
Tuache ramli zisizo na mashiko, huyo mama na mumewe wana historia chafu ya wizi na dhurma.

Hata Escobar alijenga makanisa. Rugemalila alitoa mihela kibao kusaidia wahitaji but source ya hizo pesa ndo shida!

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha porojo za kitoto za kujifanya unawajua watu.Unaijua hyo familia au unaropoka tu kwa kufanya spinning
 
Tayari tulisha kosea tangu mwanzo....

Alipofikia magufuli, hakuna wa kumbabaisha wala kuthubutu kumzinguaa....

Sio ccm, sio jeshi, sio bunge wala mahakama.

Sasa kilichobaki tusubiri Mungu ataamua vp, vinginevyo binadam tumeshamshindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kuzimia alipoexpose mkuu wa Takukuru!!!! Eti kwa cheo alichofikia lazima niseme. Mbona hajawahi kutamka kuhusu yule alikuwa waziri wa mambo ya nje aliyembadilisha? Huyu inabidi apimwe akili sababu hata kichaa mwenzie Trump hawezi ku expose CIA ambao ni active.
 
Back
Top Bottom