nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Bila ushahidi hii tunaiita hadithi.Kwa visasi vinavyoendelea hapa nchini, Nina kila sababu ya kuiamini habari hii. Kilangila.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila ushahidi hii tunaiita hadithi.Kwa visasi vinavyoendelea hapa nchini, Nina kila sababu ya kuiamini habari hii. Kilangila.
Lissu alishakanusha huu upuuzi, hajawahi kumsikia kabla ya kutajwa na TAKUKURU, yeye apambane na kesi yake,serikali haijamuhusisha na Lssu,uzuri hata Lisu mwenyewe kaweka clear hili jambo.View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.
Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.
Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
..upinzani siyo mahali salama kwa watu wenye makando-kando.
..hili suala sijui kwanini waTz hawapendi kulielewa.
..kama mtu anajua ana mambo yake ameficha ambayo yanaweza kumtia ktk matatizo na dola basi asijihusishe kabisa na upinzani.
Thanks!!
Akina Mbowe, Lissu na Zitto walivyokuwa wanamhukumu bungeni 2014 mbona mlikuwa mnashangilia na kupiga vigeregere?
Mnakera sana siku hizi. Kama mazuzu yaani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nashangaa tu mkuu!So mmewaiga cdm?
Sasa ulitarajia atakubali?Tundu lissu kakanusha hii habari na anasema ndio mara yake ya kwanza kusikia jina la huyu dada
[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji35][emoji24]View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.
Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.
Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
.RIP falling state chini ya WASHAMBA
Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
Kwahiyo lissu anaishi kwa kutegemea wezi?View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.
Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.
Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
hizo habari zako za punde ni za uzushi inamaana huyo gonzaga ndiyo pekee aliyemchangia lissu? mbona wengine hawajakamatwa? huyo dada kavunja sheria na lazima sheria ifuate mkondo wakeView attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.
Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.
Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
Mnapoteza muda wenu bure makada wa CHADEMA bora hata wenzenu wa CCM kidogo labda sababu wanapata buku 7, ninyi mnaojitolea bure kuwa makada wa CHADEMA mnatia hata aibu kwa vihabari vyenu vya kujiliwaza badala ya kupambana na ujio wa 2020.View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.
Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.
Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?