Tetesi: Kisa cha Magreth Kobelo kuwa kwenye 18 za TAKUKURU ni kumchangia Tundu Lissu

Lissu hawezi shiriki kula pesa ya wizi/utapeli. Naomba tumuondoe kwenye hii kashfa mbaya.
 
View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
Lissu alishakanusha huu upuuzi, hajawahi kumsikia kabla ya kutajwa na TAKUKURU, yeye apambane na kesi yake,serikali haijamuhusisha na Lssu,uzuri hata Lisu mwenyewe kaweka clear hili jambo.
 
Tundu lissu kakanusha hii habari na anasema ndio mara yake ya kwanza kusikia jina la huyu dada
 
..upinzani siyo mahali salama kwa watu wenye makando-kando.

..hili suala sijui kwanini waTz hawapendi kulielewa.

..kama mtu anajua ana mambo yake ameficha ambayo yanaweza kumtia ktk matatizo na dola basi asijihusishe kabisa na upinzani.

Itikadi ni imani huwezi ifuta.
 
Sio rahisi mtu mchafu kujihusisha na upinzani.

Acheni kupika habari za uongo.
 
Alimchangia shilingi ngapi? Hivi wale waliopewa za Escrow sio watakatishaji kweli? Mbona wako huru?
 
View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji35][emoji24]

Jr[emoji769]
 
RIP falling state chini ya WASHAMBA

Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
.
tapatalk_1553404059936.jpeg

Jr[emoji769]
 
View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
Kwahiyo lissu anaishi kwa kutegemea wezi?
 
  • Thanks
Reactions: UCD
View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
hizo habari zako za punde ni za uzushi inamaana huyo gonzaga ndiyo pekee aliyemchangia lissu? mbona wengine hawajakamatwa? huyo dada kavunja sheria na lazima sheria ifuate mkondo wake
 
View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
Mnapoteza muda wenu bure makada wa CHADEMA bora hata wenzenu wa CCM kidogo labda sababu wanapata buku 7, ninyi mnaojitolea bure kuwa makada wa CHADEMA mnatia hata aibu kwa vihabari vyenu vya kujiliwaza badala ya kupambana na ujio wa 2020.

Nijuavyo mimi viongozi wenu labda mpaka sasa hawajui kapi lipi watalitumia mwaka 2020. Badala ya kuandika nyuzi za kuwahamasisha wajiandae na uchaguzi ambao utakua mgumu sana kwao wa mwaka 2020 kwa wananchi wa Tanzania mrahisi kwa wananchi wao wa Mitandaoni.

Mtanzania neutral
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Back
Top Bottom