Tetesi: Kisa cha Magreth Kobelo kuwa kwenye 18 za TAKUKURU ni kumchangia Tundu Lissu

Tetesi: Kisa cha Magreth Kobelo kuwa kwenye 18 za TAKUKURU ni kumchangia Tundu Lissu

Huyu mama na familia wana historia chafu mjini hata kabla hajaingia kwenye mikono ya takukuru, wameshaliza sana watu hela.

Fuatilia upo uzi humu ndani watu wanaelezea kinaga ubaga juu ya wizi wa huyu mama na watu wake..
 
Watashindwa tu, na kushindwa kwao kutakuwa ni kwaa aibu kubwa sana
 
View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
Dah...hatari sana..kama hata Tundu Lissu naye anakula pesa chafu...[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Serikali inamtafuta kwa kutakatisha fedha haramu yeye na mme wake ,ndio maana ametorokea nje.Wewe Usituletee porojo hapa.
 
Tuache ramli zisizo na mashiko, huyo mama na mumewe wana historia chafu ya wizi na dhurma.

Hata Escobar alijenga makanisa. Rugemalila alitoa mihela kibao kusaidia wahitaji but source ya hizo pesa ndo shida!

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote walikuwa wapi kumkamata? Angeichangia CCM, hata tusingejua habari zake. Kilangila.
 
Dah...hatari sana..kama hata Tundu Lissu naye anakula pesa chafu...[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
Anashindwaje Kula hela chafu wakati hata huko Ulaya anaambatana na watetezi wa USHOGA?

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Kwa hali ilivyo sasa hivi humu nchini,ni aibu kujiita mpinzani.

Wapinzani wamekuwa na majungu,wambe wambea,wanafiki,chuki za ajabu ajabu.
 
View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.

Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.

Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
Ahhh kumbe !! Jamaa wana roho mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hali ilivyo sasa hivi humu nchini,ni aibu kujiita mpinzani.

Wapinzani wamekuwa na majungu,wambe wambea,wanafiki,chuki za ajabu ajabu.
Dah...ndiyo wanachoweza kufanya kwa sasa...Kwani yale wengi tuliyokuwa tunayalilia ndiyo JPM anayatekeleza....hawana Cha kufanya...wanakesha na vitabu vikubwa vikubwa.. wanajadili "hostages"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
hiyo ni kawaida kwa tanzania

Sent usingJamii Forums mobile app
 
Kwani ni kosa kumchangia Mh Lissu?

Kama sababu pekee ni hiyo sioni kuwa ana shida yoyote.
.
Lakini najua tatizo litakuwa kubambikiziwa ushahidi wa kupikwa na kupotezeana muda.

Inawezekana pia alikuwa anatafutwa kwa muda mrefu, kumchangia Lissu kikawa kikorezo tu cha kumalizia kazi.

Atakuwa ame-'miscalculate' ile mbaya kufanya kosa kama hilo la kuchanga Lissu!

Sijui alikuwa anafikiri nini!
Lisu alishakanusha hamjui huyo mtu,na hajawahi kumchangia chochote
 
Back
Top Bottom