Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...hatari sana..kama hata Tundu Lissu naye anakula pesa chafu...[emoji41]View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.
Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.
Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
Shule za Kata. Kilangila.tafadhari = tafadhali
Ni shule au wewe?
Kwa visasi vinavyoendelea hapa nchini, Nina kila sababu ya kuiamini habari hii. Kilangila.ushahidi tafadhari.
Siku zote walikuwa wapi kumkamata? Angeichangia CCM, hata tusingejua habari zake. Kilangila.Tuache ramli zisizo na mashiko, huyo mama na mumewe wana historia chafu ya wizi na dhurma.
Hata Escobar alijenga makanisa. Rugemalila alitoa mihela kibao kusaidia wahitaji but source ya hizo pesa ndo shida!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...uhalifu haulipi[emoji41]Siku zote walikuwa wapi kumkamata? Angeichangia CCM, hata tusingejua habari zake. Kilangila.
Halafu cha ajabu huwa anapata fedha wa kufanya kazi na RA!Kumbe hizi ndo aina za watu wanaomchangia mgombea URAIS wetu mwakani?
Weka hio historia zao chafu sioTuache ramli zisizo na mashiko, huyo mama na mumewe wana historia chafu ya wizi na dhurma.
Hata Escobar alijenga makanisa. Rugemalila alitoa mihela kibao kusaidia wahitaji but source ya hizo pesa ndo shida!
Sent using Jamii Forums mobile app
RIP falling state chini ya WASHAMBA
Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
Tanzania sio Tanzania tena tuliokuwa tukiijuaView attachment 1056498
Anashindwaje Kula hela chafu wakati hata huko Ulaya anaambatana na watetezi wa USHOGA?Dah...hatari sana..kama hata Tundu Lissu naye anakula pesa chafu...[emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
Hakuna tajiri aliye pata utajiri kwa njia zilizo salamaTuache ramli zisizo na mashiko, huyo mama na mumewe wana historia chafu ya wizi na dhurma.
Hata Escobar alijenga makanisa. Rugemalila alitoa mihela kibao kusaidia wahitaji but source ya hizo pesa ndo shida!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhh kumbe !! Jamaa wana roho mbaya sana.View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.
Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.
Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?
Dah...ndiyo wanachoweza kufanya kwa sasa...Kwani yale wengi tuliyokuwa tunayalilia ndiyo JPM anayatekeleza....hawana Cha kufanya...wanakesha na vitabu vikubwa vikubwa.. wanajadili "hostages"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hali ilivyo sasa hivi humu nchini,ni aibu kujiita mpinzani.
Wapinzani wamekuwa na majungu,wambe wambea,wanafiki,chuki za ajabu ajabu.
Lisu alishakanusha hamjui huyo mtu,na hajawahi kumchangia chochoteKwani ni kosa kumchangia Mh Lissu?
Kama sababu pekee ni hiyo sioni kuwa ana shida yoyote.
.
Lakini najua tatizo litakuwa kubambikiziwa ushahidi wa kupikwa na kupotezeana muda.
Inawezekana pia alikuwa anatafutwa kwa muda mrefu, kumchangia Lissu kikawa kikorezo tu cha kumalizia kazi.
Atakuwa ame-'miscalculate' ile mbaya kufanya kosa kama hilo la kuchanga Lissu!
Sijui alikuwa anafikiri nini!