Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,054
- 4,604
Kama hizi habari hazikutoka ndotoni wakati upo na umpendaye basi Nyalandu atakuwa kishabambikiwa kesi kubwa sana. sababu 1. Alikwenda mpaka Nairobi kumuangalia Lissu 2 Alijiondoa mpaka chamani.View attachment 1056497Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.
Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola inaonyesha nguvu yake.
Hamjiulizi walikuwa wapi wasimkate siku zote?