Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
πππππππππ@ajari ya ndege!!!!!!!!!Kwani maharage ya ukweni anasemaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππππ@ajari ya ndege!!!!!!!!!Kwani maharage ya ukweni anasemaje
Kwaiyo shujaa alitengenezewa njia na 6?Kwa hiyo unakubaliana na nadharia kuwa alikuwa chakla ya bosi
Tunaendelea na visa na viroja vya Rais mstaafu JPM.
Baada ya kisa cha kumtimua Balozi Ombeni Sefue usiku na kisa cha kumpa masharti Yahya Msigwa aliyekuwa Rais wa Tucta kuwa atulie asimsumbue sababu anatumia jina la marehemu kwenye vyeti vyake vya kitaaluma, leo nawaletea kisa kingine toka korido za Ikulu kikimuhusisha Bwana Paul Makonda RC mstaafu wa DSM.
Yanasemwa mengi kuhoji uswahiba wa hawa watu wawili, wengine wakisema ni sababu wote ni home boys toka kanda ya ziwa ila wanasahau Dialo na Kitwanga pia ni home boys ila aliwatema peupe.
Wengine wanadai ni mambo ya kishirikina eti Makonda alimletea kikundi cha wachawi na waganga kuagua mashetani yaliyoachwa na mtangulizi wake Ikulu ya magogoni hadi kushindwa kukalika.
Hizo zote ni nadharia ukweli huu hapa.
John Pombe Magufuli alimrithi Makonda toka kwa Jk akiwa mkuu wa wilaya.
JK alimpa Makonda hicho cheo kama asante yakumnyamaziaha mzee Warioba ambaye alitaka kujifanya yeye ndio kama Rais baada ya kupewa kazi ya kuongoza tume ya katiba mpya.
Warioba hakutaka kuwasikiliza CCM wenzake kuhusu katiba mpya, wenye chama chao wakaona isiwe tabu, wakamtuma Makonda kumfanyia mzee wa watu fujo mpaka kupigwa kofi na mtama pale ubungo plaza.
Baada ya kazi hiyo Makonda akapewa zawadi ya kuwa DC kinondoni bila kufanyiwa vetting na watu wa kitengo, makosa makubwa!
Kwa vile Jpm hakuwa mfuasi wa katiba mpya wala demokrasia ,akajikuta akiwa upande wa Makonda.akaingia mtego wa kumpa cheo cha u RC bila kumfanyia vetting akiamini JK alishafanya hiyo kazi wakati anamteua kuwa DC
Likaibuka swala la watumishi feki na wenye vyeti fake jina la Makonda likawemo ikabainika jina lake ni Albert Bashite
Kwa vile Jpm alishatuaninisha kuwa yupo makini akaona bora amkaushie tu maana kumtumbua ingeleta picha kuwa na yeye hayupo makini
Ikatafutwa kila njia kumtoa Bashite madarakani ikashindikana,akazingua zaidi kwa kukorofishana na aliyekuwa waziri wa fedha bwana Mpango kwa makontena yake ya fenicha alixotaka yasilipiwe ushuru,hajakaa sawa akajihusisha kumteka Mo,Roma mkatoliki,mara kavamia ofisi za clouds ,mambo ni mengi.
Siku hazigandi mwaka 2020 ulivyofika akaingia mtegoni kuwa agombee ubunge apewe uwaziri akanasa. Yalikuwa maelekezo toka kwa Jpm kuwa achukue fomu ya ubunge
Huku Jpm akatamka kuwa mteule wake yeyote atakayegombea ubunge akikosa imekula kwake.ikapigwa figisu na maelekezo toka juu kuwa Bashite asipenye kwenye kura za maoni na ikawa hivyo.
Bashite akashuhudia wateule wenzake akina Gumbo,Katambi,Mnyeti na Kunambi wakiingia mjengoni
Itaendelea....
Ccm haileti mvua Ccm sio Mungu
Pambaneni
Siri ya mahusiano yao ni ushoga wa Makonda.Hapa hakuna jipya uliloweka. Wala hakuna ukweli uliokuwa umefichwa na sasa wewe umeufichua!....hakuna kitu
Dawa yenyewe ndiyo hiyo Jiwe kumlawiti Makondahii si urongo, Bashite alileta wataalam toka Usumani kumzindika Mzee baba aka Jiwe, ila Bashite kujiwekea uzio akamwambia mganga awape dawa pamoja na Jiwe awaapishe kwamba ili dawa ifanye kazi basi wasitosane hadi uongozi wa Jiwe ukakapokoma - hapo ndipo ukawa mwanzo wa uswaiba mpya wa Bashite na Jiwe.
Soma vizuri,makonda aliingizwa cha kike kuwa agombee atabebwaHabari za uongo hizi. Kwa hivyo Makonda aligombea ubunge akijua atashindwa. Tuwe wakweli makonda hakuwa anakubalika ndio maana alipigwa Chini. Mbona gambo alifukuzwa ukuu wa mkoa na Magufuli lakini akapenya kwenye ubunge.
Siri za ikuluπ€£π€£π€£π€£Tunaendelea na visa na viroja vya Rais mstaafu JPM.
Baada ya kisa cha kumtimua Balozi Ombeni Sefue usiku na kisa cha kumpa masharti Yahya Msigwa aliyekuwa Rais wa Tucta kuwa atulie asimsumbue sababu anatumia jina la marehemu kwenye vyeti vyake vya kitaaluma, leo nawaletea kisa kingine toka korido za Ikulu kikimuhusisha Bwana Paul Makonda RC mstaafu wa DSM.
Yanasemwa mengi kuhoji uswahiba wa hawa watu wawili, wengine wakisema ni sababu wote ni home boys toka kanda ya ziwa ila wanasahau Dialo na Kitwanga pia ni home boys ila aliwatema peupe.
Wengine wanadai ni mambo ya kishirikina eti Makonda alimletea kikundi cha wachawi na waganga kuagua mashetani yaliyoachwa na mtangulizi wake Ikulu ya magogoni hadi kushindwa kukalika.
Hizo zote ni nadharia ukweli huu hapa.
John Pombe Magufuli alimrithi Makonda toka kwa Jk akiwa mkuu wa wilaya.
JK alimpa Makonda hicho cheo kama asante yakumnyamaziaha mzee Warioba ambaye alitaka kujifanya yeye ndio kama Rais baada ya kupewa kazi ya kuongoza tume ya katiba mpya.
Warioba hakutaka kuwasikiliza CCM wenzake kuhusu katiba mpya, wenye chama chao wakaona isiwe tabu, wakamtuma Makonda kumfanyia mzee wa watu fujo mpaka kupigwa kofi na mtama pale ubungo plaza.
Baada ya kazi hiyo Makonda akapewa zawadi ya kuwa DC kinondoni bila kufanyiwa vetting na watu wa kitengo, makosa makubwa!
Kwa vile Jpm hakuwa mfuasi wa katiba mpya wala demokrasia ,akajikuta akiwa upande wa Makonda.akaingia mtego wa kumpa cheo cha u RC bila kumfanyia vetting akiamini JK alishafanya hiyo kazi wakati anamteua kuwa DC
Likaibuka swala la watumishi feki na wenye vyeti fake jina la Makonda likawemo ikabainika jina lake ni Albert Bashite
Kwa vile Jpm alishatuaninisha kuwa yupo makini akaona bora amkaushie tu maana kumtumbua ingeleta picha kuwa na yeye hayupo makini
Ikatafutwa kila njia kumtoa Bashite madarakani ikashindikana,akazingua zaidi kwa kukorofishana na aliyekuwa waziri wa fedha bwana Mpango kwa makontena yake ya fenicha alixotaka yasilipiwe ushuru,hajakaa sawa akajihusisha kumteka Mo,Roma mkatoliki,mara kavamia ofisi za clouds ,mambo ni mengi.
Siku hazigandi mwaka 2020 ulivyofika akaingia mtegoni kuwa agombee ubunge apewe uwaziri akanasa. Yalikuwa maelekezo toka kwa Jpm kuwa achukue fomu ya ubunge
Huku Jpm akatamka kuwa mteule wake yeyote atakayegombea ubunge akikosa imekula kwake.ikapigwa figisu na maelekezo toka juu kuwa Bashite asipenye kwenye kura za maoni na ikawa hivyo.
Bashite akashuhudia wateule wenzake akina Gumbo,Katambi,Mnyeti na Kunambi wakiingia mjengoni
Itaendelea....
Haya majibu yenu ndio yanawafanya mnaishi kama wakimbizi nchini kwenu wenyewe, kuna kukosoa na kutukana naona wewe umeamua unaloona linakufaaDawa yenyewe ndiyo hiyo Jiwe kumlawiti Makonda
Kheri mimi sijasema !!Dawa yenyewe ndiyo hiyo Jiwe kumlawiti Makonda
Jamaa analeta viporo vya juzi.Hapa hakuna jipya uliloweka. Wala hakuna ukweli uliokuwa umefichwa na sasa wewe umeufichua!....hakuna kitu
Sasa hapa ndio umeongea Nini? Hakuna jipya na bado hujaleta sababu ya msingi ya Mwendazake kushikwa Masikio na Bashite.Tunaendelea na visa na viroja vya Rais mstaafu JPM.