Kisa cha Magufuli kushindwa kumuwajibisha Makonda, Ukweli uliofichika sasa hadharani

Kisa cha Magufuli kushindwa kumuwajibisha Makonda, Ukweli uliofichika sasa hadharani

.

John Pombe Magufuli alimrithi Makonda toka kwa Jk akiwa mkuu wa wilaya.
JK alimpa Makonda hicho cheo kama asante yakumnyamaziaha mzee Warioba ambaye alitaka kujifanya yeye ndio kama Rais baada ya kupewa kazi ya kuongoza tume ya katiba mpya.

Itaendelea....
Ukiisha weka uongo 1, hata kama kweli ni 99, kweli zote 99 zitaonekana ni uongo!. Makonda was protecting Warioba na kumsindikiza atoke salama kwavkumkingia kifua na kum provide safe passage.
P
 
Bashite alikuwa mkusanya pesa za madili wa mwendazake
Hii ndio point kuu na kuwanl Kiongozi wa genge la wauaji..

Juzi Kati nimeona account ya insta ya serikali inaitwa Dodoma zone ikiweka picha ya Bashite akifurahia mtoto wake huku kukiwa na Mwandishi ya Baba Keagan..

Bashite bado ana ushawishi huko Serikalini huwenda awamu ya pili Kama Mama atakuwa Rais akaula Tena.
 
Tunaendelea na visa na viroja vya Rais mstaafu JPM.

Baada ya kisa cha kumtimua Balozi Ombeni Sefue usiku na kisa cha kumpa masharti Yahya Msigwa aliyekuwa Rais wa Tucta kuwa atulie asimsumbue sababu anatumia jina la marehemu kwenye vyeti vyake vya kitaaluma, leo nawaletea kisa kingine toka korido za Ikulu kikimuhusisha Bwana Paul Makonda RC mstaafu wa DSM.

Yanasemwa mengi kuhoji uswahiba wa hawa watu wawili, wengine wakisema ni sababu wote ni home boys toka kanda ya ziwa ila wanasahau Dialo na Kitwanga pia ni home boys ila aliwatema peupe.

Wengine wanadai ni mambo ya kishirikina eti Makonda alimletea kikundi cha wachawi na waganga kuagua mashetani yaliyoachwa na mtangulizi wake Ikulu ya magogoni hadi kushindwa kukalika.

Hizo zote ni nadharia ukweli huu hapa.

John Pombe Magufuli alimrithi Makonda toka kwa Jk akiwa mkuu wa wilaya.
JK alimpa Makonda hicho cheo kama asante yakumnyamaziaha mzee Warioba ambaye alitaka kujifanya yeye ndio kama Rais baada ya kupewa kazi ya kuongoza tume ya katiba mpya.

Warioba hakutaka kuwasikiliza CCM wenzake kuhusu katiba mpya, wenye chama chao wakaona isiwe tabu, wakamtuma Makonda kumfanyia mzee wa watu fujo mpaka kupigwa kofi na mtama pale ubungo plaza.

Baada ya kazi hiyo Makonda akapewa zawadi ya kuwa DC kinondoni bila kufanyiwa vetting na watu wa kitengo, makosa makubwa!

Kwa vile Jpm hakuwa mfuasi wa katiba mpya wala demokrasia ,akajikuta akiwa upande wa Makonda.akaingia mtego wa kumpa cheo cha u RC bila kumfanyia vetting akiamini JK alishafanya hiyo kazi wakati anamteua kuwa DC

Likaibuka swala la watumishi feki na wenye vyeti fake jina la Makonda likawemo ikabainika jina lake ni Albert Bashite

Kwa vile Jpm alishatuaninisha kuwa yupo makini akaona bora amkaushie tu maana kumtumbua ingeleta picha kuwa na yeye hayupo makini

Ikatafutwa kila njia kumtoa Bashite madarakani ikashindikana,akazingua zaidi kwa kukorofishana na aliyekuwa waziri wa fedha bwana Mpango kwa makontena yake ya fenicha alixotaka yasilipiwe ushuru,hajakaa sawa akajihusisha kumteka Mo,Roma mkatoliki,mara kavamia ofisi za clouds ,mambo ni mengi.

Siku hazigandi mwaka 2020 ulivyofika akaingia mtegoni kuwa agombee ubunge apewe uwaziri akanasa. Yalikuwa maelekezo toka kwa Jpm kuwa achukue fomu ya ubunge

Huku Jpm akatamka kuwa mteule wake yeyote atakayegombea ubunge akikosa imekula kwake.ikapigwa figisu na maelekezo toka juu kuwa Bashite asipenye kwenye kura za maoni na ikawa hivyo.

Bashite akashuhudia wateule wenzake akina Gumbo,Katambi,Mnyeti na Kunambi wakiingia mjengoni

Itaendelea....
Pumba
 
Tunaendelea na visa na viroja vya Rais mstaafu JPM.

Baada ya kisa cha kumtimua Balozi Ombeni Sefue usiku na kisa cha kumpa masharti Yahya Msigwa aliyekuwa Rais wa TUCTA kuwa atulie asimsumbue sababu anatumia jina la marehemu kwenye vyeti vyake vya kitaaluma, leo nawaletea kisa kingine toka korido za Ikulu kikimuhusisha Bwana Paul Makonda RC mstaafu wa DSM.

Yanasemwa mengi kuhoji uswahiba wa hawa watu wawili, wengine wakisema ni sababu wote ni home boys toka kanda ya ziwa ila wanasahau Dialo na Kitwanga pia ni home boys ila aliwatema peupe.

Wengine wanadai ni mambo ya kishirikina eti Makonda alimletea kikundi cha wachawi na waganga kuagua mashetani yaliyoachwa na mtangulizi wake Ikulu ya Magogoni hadi kushindwa kukalika.

Hizo zote ni nadharia ukweli huu hapa.

JPM alimrithi Makonda toka kwa Jk akiwa mkuu wa wilaya.
JK alimpa Makonda hicho cheo kama asante yakumnyamazisha mzee Warioba ambaye alitaka kujifanya yeye ndio kama Rais baada ya kupewa kazi ya kuongoza tume ya katiba mpya.

Warioba hakutaka kuwasikiliza CCM wenzake kuhusu katiba mpya, wenye chama chao wakaona isiwe tabu, wakamtuma Makonda kumfanyia mzee wa watu fujo mpaka kupigwa kofi na mtama pale Ubungo plaza.

Baada ya kazi hiyo Makonda akapewa zawadi ya kuwa DC kinondoni bila kufanyiwa vetting na watu wa kitengo, makosa makubwa!

Kwa vile JPM hakuwa mfuasi wa katiba mpya wala demokrasia, akajikuta akiwa upande wa Makonda akaingia mtego wa kumpa cheo cha u RC bila kumfanyia vetting akiamini JK alishafanya hiyo kazi wakati anamteua kuwa DC

Likaibuka swala la watumishi feki na wenye vyeti fake jina la Makonda likawemo ikabainika jina lake ni Albert Bashite

Kwa vile JPM alishatuaninisha kuwa yupo makini akaona bora amkaushie tu maana kumtumbua ingeleta picha kuwa na yeye hayupo makini

Ikatafutwa kila njia kumtoa Bashite madarakani ikashindikana, akazingua zaidi kwa kukorofishana na aliyekuwa waziri wa fedha bwana Mpango kwa makontena yake ya fenicha aliyotaka yasilipiwe ushuru, hajakaa sawa akajihusisha kumteka Mo, Roma mkatoliki, mara kavamia ofisi za clouds, mambo ni mengi.

Siku hazigandi mwaka 2020 ulivyofika akaingia mtegoni kuwa agombee ubunge apewe uwaziri akanasa. Yalikuwa maelekezo toka kwa JPM kuwa achukue fomu ya ubunge

Huku JPM akatamka kuwa mteule wake yeyote atakayegombea ubunge akikosa imekula kwake, ikapigwa figisu na maelekezo toka juu kuwa Bashite asipenye kwenye kura za maoni na ikawa hivyo.

Bashite akashuhudia wateule wenzake akina Gambo, Katambi, Mnyeti na Kunambi wakiingia mjengoni

Mission completed
Kwahiyo huu ndio ukweli? wewe ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Tunaendelea na visa na viroja vya Rais mstaafu JPM.

Baada ya kisa cha kumtimua Balozi Ombeni Sefue usiku na kisa cha kumpa masharti Yahya Msigwa aliyekuwa Rais wa TUCTA kuwa atulie asimsumbue sababu anatumia jina la marehemu kwenye vyeti vyake vya kitaaluma, leo nawaletea kisa kingine toka korido za Ikulu kikimuhusisha Bwana Paul Makonda RC mstaafu wa DSM.

Yanasemwa mengi kuhoji uswahiba wa hawa watu wawili, wengine wakisema ni sababu wote ni home boys toka kanda ya ziwa ila wanasahau Dialo na Kitwanga pia ni home boys ila aliwatema peupe.

Wengine wanadai ni mambo ya kishirikina eti Makonda alimletea kikundi cha wachawi na waganga kuagua mashetani yaliyoachwa na mtangulizi wake Ikulu ya Magogoni hadi kushindwa kukalika.

Hizo zote ni nadharia ukweli huu hapa.

Itaendelea
Chai
 
Mbongo mpe picha tu atakutungia story yote yeye mwenyewe.
Kama huyu inaonekana hata picha haihitaji, we mpe kijikaratasi chenye kijinukta kidoogooo katikati, hicho kijinukta atakigeuza kwa maneno kuwa bonge la picha na stori juu!
 
Back
Top Bottom