Kisa cha Magufuli kushindwa kumuwajibisha Makonda, Ukweli uliofichika sasa hadharani


Habari za uongo hizi. Kwa hivyo Makonda aligombea ubunge akijua atashindwa. Tuwe wakweli makonda hakuwa anakubalika ndio maana alipigwa Chini. Mbona gambo alifukuzwa ukuu wa mkoa na Magufuli lakini akapenya kwenye ubunge.
 
Dawa yenyewe ndiyo hiyo Jiwe kumlawiti Makonda
 
Siri za ikulu🀣🀣🀣🀣

Acheni to underestimate Ikulu bana
 
Sasa hapa ndio umeongea Nini? Hakuna jipya na bado hujaleta sababu ya msingi ya Mwendazake kushikwa Masikio na Bashite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…