Kisa cha Magufuli kushindwa kumuwajibisha Makonda, Ukweli uliofichika sasa hadharani

Ipo siku mtatembea uchi kwa wakwe zenu ili wawaamini kwa kile mnachosema kuhusu Mwamba, Jiwe JPM!
 
Afu we KUBWA JINGA, Magufuli sio rais mstaafu shabaash.
 
Huna lolote zaidi ya kuwa VUVUZELA kama hawa walamba asali
Tuondolee huu uzi wenye kinyaaa

Kojani Ganga wewe

Tena nikutahadharishe ni.marafuku kumuhususha Hayati Raisi wetu Kipenzi na hizi takataka sijui makonda waliopewa nafasi wakatumia vibaya
 
Kipenzi cha nani
 
Kipenzi cha nani
Kwani wewe hujui ni kipenzi cha nani?

Nikusaidie

Kipenzi cha Watanzania wote wazalendo wa kweli, wapenda maendeleo ya nchi yao rasilimali za Nchi yao na vingine kedekede

Wewe sio mzalendo??tufahamieane vyema,usitukumbushe machungu ya Taifa let
 
Acha upuuzi.
 
Kafie Njombe huko
 
Ukiisha weka uongo 1, hata kama kweli ni 99, kweli zote 99 zitaonekana ni uongo!. Makonda was protecting Warioba na kumsindikiza atoke salama kwavkumkingia kifua na kum provide safe passage.
P
Zile fujo zote zilikuwa staged na group la makonda.
 
Dah,,,,huyu jamaa sijuwi kalipwa kiasi gani?kumchafua MAGUFULI.

Kule kafunguwa kisa cha John Pompeo na Daudi Basheet.

Huku kaja kafunguwa tena uzi ulelule majina tofauti ..

Wakati inchi inaelekea shimoni sisi tunahangaika na kueneza mambo ya uzushi na uongo..

Sawa lakini Mungu wetu sote.
 
umekaa umewashwa ndo umeona ulete sintofahamu nyingine….Ivi una umri gan??
Haiwezekani mtu mzima ufungue Uzi kisa sentensi moja tena ya muhemuko
 
JPM hakua raisi mstaafu
 
Ukimaliza kujadili huu upuuzi uje na Visa na viroja vya SGR,Ujenzi wa miundombinu ya kisasa,Mradi wa JNHP, kupinga uzembe na rushwa kaskazini,kusikiliza wananchi hususan wanyonge n.k kisha badala ya kujadili uhusiano wake na sefue jadili uhusiano wa walamba asali Samia na Makamba,Nape,JK n.k
 
Zilikuwa zama za giza sana
 
Ukiisha weka uongo 1, hata kama kweli ni 99, kweli zote 99 zitaonekana ni uongo!. Makonda was protecting Warioba na kumsindikiza atoke salama kwavkumkingia kifua na kum provide safe passage.
P
Kwa mara ya kwanza Pascal ume ongea uongo!! Wote tulishuhudia makonda akimtandika mzee warioba ngumi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…