Kisa cha Michael Essien na John Terry

Mshahara wa mchezaji wa Chelsea ulivyo mkubwa umalizwe na ndugu tu? Tena kwa kuwapa sio kukuibia?

Atakuwa na mambo yake mengine
Unawajua waafrika wewe..mtaa mzima wanakuomba pia kumbuka Kuna watu wapo social.....

Kaka angu yupo ivyo yaan ni kawaida kwake kukuta team ya watu anawalisha na kuwapa misaada mbali mbali ya kibinadamu....

Yaan pesa yake Michael Essien ilikua inaisha haraka haraka elewa sio kua amefirisika...

Maana hata vitabu vya dini vinasema mkono unao toa NDIO unao pokea...🤓
 
Africa hata yule aliyekua anakusimanga na kukunyima pesa ukitusua tu nae anajitokeza kutaka umrudishie masimango yake kwa gharama ati bila yeye kukusimanga usingefika hapo ulipo
 
Africa hata yule aliyekua anakusimanga na kukunyima pesa ukitusua tu nae anajitokeza kutaka umrudishie masimango yake kwa gharama ati bila yeye kukusimanga usingefika hapo ulipo
Haters hutufanya tupambane sanaa mwisho mtu anatoboa kwenye TUNDU la HAIWEZEKANI.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…