Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
- #21
Unawajua waafrika wewe..mtaa mzima wanakuomba pia kumbuka Kuna watu wapo social.....Mshahara wa mchezaji wa Chelsea ulivyo mkubwa umalizwe na ndugu tu? Tena kwa kuwapa sio kukuibia?
Atakuwa na mambo yake mengine
Kaka angu yupo ivyo yaan ni kawaida kwake kukuta team ya watu anawalisha na kuwapa misaada mbali mbali ya kibinadamu....
Yaan pesa yake Michael Essien ilikua inaisha haraka haraka elewa sio kua amefirisika...
Maana hata vitabu vya dini vinasema mkono unao toa NDIO unao pokea...🤓