Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

Haa, mkuu kwani ukiandika hapa utapoteza nini? Weka vitu bana
 
Dah mzee nuksi sana akala na visvyoruhusiwa
 
Moderator wanasema hii ni chai ndo maana wameleta jukwaa husika
 
Dah hapa sasa tunaoteseka ni sisi!!

Hivi ni kwanini mods hamtufikirii sisi wapenzi wasomaji kabla ya kufanya maamuzi??
Sasa mleta mada amegoma what next????
 
Hao Moderator wanazingua wanafikiri wote tunapenda siasa wengine tunapenda mastory ya UKWELI na hata kama ni CHAI kama inavutia si twaipenda hivyo hivyo

MODERATORS ACHENI KUZINGUA
 
Acha ujinga basi kwani ikikutokea haiwezi kuwa entertainment.
Kwanini uliweka kwenye habari na hoja mchanganyiko? Kwani habari haiwezi kuwa entertainment. Mbona kina Diamond maisha yao wanayoishi utayakuta kwenye habari za entertainment. Au ukisikia entertainment unafikiriaje kichwani kwako.
 
Msamehe bure..tuendelezee tu jamani
 
Ujue ni kwamba
Yeye Chizi Maarifa anajua fika kuwa hii sio chai wala story za Kwenye vitabu ni kitu kilichomkuta really kwenye Maisha yake

Sasa kwanini wao wanaoitwa moderators wauhamishe walete jukwaa la sports & entertainment ?? Kwamba mkasa wa jamaa ni michezo na Burudani sio ??[emoji23] Inakatisha tamaa kwake Chizi Maarifa kuendelea kumwaga mambo

Rudishen Uzi mahala husika otherwise mje na majibu hapa
Active Moderator Cookie
Maxence Melo
 
Hii siyo story. Nasisitiza hivyo na nilipaswa kuheshimiwa mawazo yangu. Walichofanya nadhani ni mwendelezo ule ule wa moderator flan kuendekeza chuki. Ingekuwa ni story wala nsingekwazika. But pia ngeleta jukwaa husika.

Mimi ni member mzoefu humu JF so najua nini niandike wapi. Kuna nyuzi watu wameelezea mambo yao makubwa ya kutisha majukwaa mengine.zimeachwa huko. Why huu iwe shida? Kuna shinikizo gani na kutoka kwa nani wamepata?
 
Hao moderator wameshapitiwa na bwana jini[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mkuu Hawa Mods wape dakika kadhaa waurudishe,wakizingua kama vipi waunganishie babu wa Z'bar afanye yake!..
 
Nilikua hata sijui kama Uzi umehamishwa jukwaa duuuh kwa hyo story yetu ndo imeisha.
 
Mh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…