Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

Dah kaenda kwenye tiba nako kazidisha matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamezingua all in all lengo stori yako inafunza mkuu.

Mfano. Mdada ukipata matatizo Kama hayo we nenda kwa ostadh wa halali kabisa ufanyiwe tiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Part II
 
Hao Moderator wanazingua wanafikiri wote tunapenda siasa wengine tunapenda mastory ya UKWELI na hata kama ni CHAI kama inavutia si twaipenda hivyo hivyo

MODERATORS ACHENI KUZINGUA
Kabsa yan vitu kma hizi vinatupunguzia mgandano wa mawazo.
 
Part III
 
Part IV
 
Humu nawaamini watu kwamba ni lever nyingine kwa uelewa. Lakini kwenye hili mnalolilia mmetia aibu wadau. Yaani mnalazimisha vya kusingizia kwamba huko kwenye sports ndio kwenye story za kijinga jinga?. Uzi kupelekwa na mod kwenye jukwaa lingine sioni tatizo lolote. Wanajamii safari mmezingua mbayaaaa,yaani mnalilia mpaka mambo ya kibwege hayo? Utafikiri kwenye jukwaa lingine ndio mnavuna pesa.
 
Relax, hakuna anaelilia kitu hapa mkuu

Of course yes kwa mtazamo mwengine ukiangalia mods wanaweza kuwa wako sahihi kufanya hilo walilo lifanya

Lakini ku'term kisa/mkasa wa Mtu as Burudani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nini maana ya lever nyingine??? Kama lugha ya kigeni inasumbua ni vyema ukaandika tu kiswahili mkuu,

Kifupi mods wamezingua, huu uzi ilibidi uwe kwenye habari na hoja mchanganyiko au mahusiano ila sio kwenye burudani.

Na kama kwako unaona ni sawa hamna tatizo, its okay ila huwezi kuona mawazo ya wengine yanakutia aibu kwasababu kila mtu ana mtazamo wake, na sio lazima wote tufanane.
 
Kwani Mkuu huna Mawasiliano na Bwana Jini Bong'ozi umchomee huyu Moderator ili usiku huu amuwashie moto aache shobo na Nyuzi za watu[emoji16]

NB: Kama kuna gharama naahidi kuchangia nusu gharama[emoji16]
 
Kama ulivyosema hatuwezi kufanana wote. Kwa nini unalazimisha nitumie lugha unayotaka wewe kiswahili kila mahala?. Lugha ya kigeni ipi inasumbua?. Hapo umesema hujui maana yake,halafu lugha ya kigeni inasumbua. Usiulize maswali ambayo majibu unayo mwenyewe. Wewe unajua ni lugha gani nimeandika kwenye hilo neno?. Hii JF wewe mahala gani unailipia mpaka uanze kuwapangia masharti wenye hiyo App?. Kama unaona wanazingua si usepe ishia zako fb huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…