Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

...hadithi hadithi

Hadithi njoo,ulongo utamu kolea...
 
Mbona mambo ya majini yamekuwa rahisi sana, mara watu wanaoa majini mara wanagombana na majini mara wanapendwa na majini mara dah..... aisee
 
Hapo kivulini umenikimbusha miaka hiyo rama D anatuimbia r&b akapela. Jamaa nilikiwa simuelewi kabisa lkn leo nayeye ni msanii mkubwa ati.
Rama D ni level niyngine kabisa kama ni train siyo standard gauge lakini ni Maglev kabisa
 
Back
Top Bottom