lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Maisha yenyewe haya kibongo bongo ujenge halafu mtu aje akudhulumu yule aliyetoa thank you apewe....Maua yake....Jasho la mtu nalo haliliwi....litarudi hata Kwa watoto au wajukuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimekutana na binti wa mjaluo huyo na kugundua kwamba kumbe ameshafariki tangu 2015.
Nilimfahamu mjaluo huyu mwaka 2005 au 2006 hivi alikuja kupanga nyumbani kwetu.
Mshua wangu hakuwahi kumfahamu vizuri mjaluo yule.
Ni hivi huyu mjaluo ambae kazi yake ilisemekana ilikuwa ni uvuvi alikuwa anaenda kupanga kwenye nyumba ya mtu. Mwenye nyumba ukiwa mstaarabu hana shida na wewe na ataonyesha ushirikiano wa kutosha. Ila mwenye nyumba ukiwa mkorofi (more especially towards him) basi atakacho kifanya ni ku demonstrate behaviours ambazo zita mpush mwenye nyumba kutoa notice.
Atakacho kifanya baada ya kupewa notice siku ya kuondoka ikifika anakuwa hayupo yeye wala familia yake yani nyumba inakuwa haina mtu anazima na simu zake zinakuwa hazipatikani..
Atakacho kifanya mwenye nyumba baada ya jamaa kutokuonekana ni kwenda kwa mjumbe kisha kuvunja mlango na kutoa vitu ndani.
Jamaa akisha jidhihirisha kwamba vitu vyake vimetolewa ndani atakaa kama wiki tatu then atarudi kwenye nyumba/chumna chake.
Akifika ataomba funguo kwa mwenye nyumba, mwenye nyumba atamwambia vitu vyako vimetolewa na chumba kapewa mtu. Jamaa ata act kuwa surprised ataomba kuonyeshwa vitu vyake atavikagua then ataenda polisi halafu atakuja na polisi atasema kwenye vitu vyake kuna kifaa kimoja cha kwenye boti zake au kazi zake za uvuvi hakionekani. Gharama za kifaa hicho ni shilingi milioni 67. Atataka alipwe pesa yake. ( Risiti za kununua hicho kifaa atakuwa nazo) then kesi itakwenda mahakamani atashinda kesi, mwenye nyumba atakosa hela ya kumlipa jamaa so itabidi achukue nyumba.
Kwa staili hii jamaa alidhulumu nyumba kama nne hapa mjini na alikuwa na kesi nyingine mahakani zaidi ya saba ambazo alikuwa anapambana na wenye nyumba.
Kuhusu kifo chake: Alikufa akiwa tayari kakabidhiwa ushindi kwenye kesi ya nyumba na kilichokuwa kimebakia nj execution tu so inasemekana mwenye nyumba alikuwa mchawi kumzidi jamaa akampa jamaa thank you.
Watoto wa jamaa hawakutaka kuendelea tena na kesi na hata hizo nyumba nne alizo shinda kesi wameshindwa kuzifanyia chochote wamezirejesha kwa wamiliki halali..
Umri wa jamaa: By that time a( 2005) alikuwa na kama 50 hivi cause alikuwa ana muita dingi yangu bro na dingi yangu alikuwa na 55 mwaka huo.
Jasho la mtu achana nalo
Yeye hajui hayo mkuu anacho taka ni kifaa chake au hela yakeSasa kifaa kipotee faida ya kumuita balozi/mjumbe na shahidi ni Nini!?
Kimsingi hapo ni unakuta godoro lako na unajitwika unaenda
Wacha kabisa mkuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkanye asije kupewa thank youNdio mchezo wa bamkubwa wangu huo ila ye yupo tofaut kidogo ye mkizinguana hakawii kuja kukuwekea meno ya tembo nyumban kwako na kuita askari wa maliasili muda huo huo ukawekwa ndan mpaka atapojisikia kukutoa,huwa najiulizaga, bangi, meno ya tembo na madawa anatoaga wap sipatag jibu
Na hadi kutapeli nyumba zote hizo mahakama na wahanga walishindwa kupata kumbukumbu za kimahakama za dhuruma zake alizowahi kufanya kupitia kesi za nyuma? Na mahakama ilikuwa haihitaji kujiridhisha kuhusu kuachwa kwa kifaa hicho ndani ya chumba/nyumba wakati zoezi la kuhamisha vitu vya mpangaji lilishuhudiwa na serikali ya mtaa? Hii ni moja ya story za vijiweni tu.Kumbe boti za wavuvi ziko na vifaa ghali namna hiyo? Milioni 67?
Nilikua sifahamu chief!
Na hadi kutapeli nyumba zote hizo mahakama na wahanga walishindwa kupata kumbukumbu za kimahakama za dhuruma zake alizowahi kufanya kupitia kesi za nyuma? Na mahakama ilikuwa haihitaji kujiridhisha kuhusu kuachwa kwa kifaa hicho ndani ya chumba/nyumba wakati zoezi la kuhamisha vitu vya mpangaji lilishuhudiwa na serikali ya mtaa? Hii ni moja ya story za vijiweni tu.
Yapo kuna mama ana kituo cha watoto yatima sinza mdukqni kinaitwa ZIADA amedhulumu nyumba piaAyo mambo yapo mpaka sasa ..
Mwamba mpumbavu ndio Maana wajanja waliamua kumtanguliza.Huwezi Kula jasho la mtu halafu ukajiita Mwamba.Mwamba tafuta kwa jasho lako.Huyo ni mwamba
Si ndio hapoKumbe boti za wavuvi ziko na vifaa ghali namna hiyo? Milioni 67?
Nilikua sifahamu chief!
Hakuna kitu cha namna hiyo, hata kama mtu amechukua Mkopo wa Nyumba (Mortgage Loan), bado ni vigumu sana kwa Mkopeshaji kuweza kuchukua nyumba ya Mkopeshwaji hata baada ya Mkopeshwaji huyo kushindwa kulipa mkopo. There is something known as the RIGHT OF REDEMPTION. Either, FORECLOSURE is abolished under the Law in Tanzania.Leo nimekutana na binti wa mjaluo huyo na kugundua kwamba kumbe ameshafariki tangu 2015.