Kisa cha mpangaji mjaluo aliyewageuka wenye nyumba alizopanga na kuzichukua yeye mahakamani

Maisha yenyewe haya kibongo bongo ujenge halafu mtu aje akudhulumu yule aliyetoa thank you apewe....Maua yake....Jasho la mtu nalo haliliwi....litarudi hata Kwa watoto au wajukuu...
 
Ndio mchezo wa bamkubwa wangu huo ila ye yupo tofaut kidogo ye mkizinguana hakawii kuja kukuwekea meno ya tembo nyumban kwako na kuita askari wa maliasili muda huo huo ukawekwa ndan mpaka atapojisikia kukutoa,huwa najiulizaga, bangi, meno ya tembo na madawa anatoaga wap sipatag jibu
 
Sasa kifaa kipotee faida ya kumuita balozi/mjumbe na shahidi ni Nini!?
Kimsingi hapo ni unakuta godoro lako na unajitwika unaenda
Yeye hajui hayo mkuu anacho taka ni kifaa chake au hela yake
 
Maisha yenyewe haya kibongo bongo ujenge halafu mtu aje akudhulumu yule aliyetoa thank you apewe....Maua yake....Jasho la mtu nalo haliliwi....litarudi hata Kwa watoto au wajukuu...
🤣🤣🤣
 
Mkanye asije kupewa thank you
 
Ugaigai kwenye nyumba za watu wengi huishia vibaya, ujasiri wa kumzulumu mtu mali yake unapata wapi, tamaa za namna hiyo zinapeleke mauti au kuharibu mwelekeo wa mtu kwa kiasi kikubwa sana, mara nyingi wenye deficiency ya elimu dunia ndiyo huwa na ujasiri wa kufanya hayo!
 
Kumbe boti za wavuvi ziko na vifaa ghali namna hiyo? Milioni 67?

Nilikua sifahamu chief!
Na hadi kutapeli nyumba zote hizo mahakama na wahanga walishindwa kupata kumbukumbu za kimahakama za dhuruma zake alizowahi kufanya kupitia kesi za nyuma? Na mahakama ilikuwa haihitaji kujiridhisha kuhusu kuachwa kwa kifaa hicho ndani ya chumba/nyumba wakati zoezi la kuhamisha vitu vya mpangaji lilishuhudiwa na serikali ya mtaa? Hii ni moja ya story za vijiweni tu.
 

1.in the court of law it is not about what u know but what you can prove.

2. A good lawyer is the one who knows the laws but the best lawyer is the one who knows the judges.

Huyu mjaluo was the guy who know the judges.

Mahakamani huwaga kuna kitu kinaitwa " mipango ya mahakamani" wanao jua mipango ya mahakamani ndio wanao shinda kesi na sio wanao jua tu sheria..

Unadhani kila kesi alikuwa ana sema kimepotea kifaa kimoja tu mkuu? Kila kesi alikuwa anaibua fact mpya
 
Funzo: Usidiriki kumtoa mpangaji pekeako bila kufile case Kwa mkt wa mtaa wakahusika kuvunja na Kutoa Mali za mpangaji.
 
Hakuna kitu cha namna hiyo, hata kama mtu amechukua Mkopo wa Nyumba (Mortgage Loan), bado ni vigumu sana kwa Mkopeshaji kuweza kuchukua nyumba ya Mkopeshwaji hata baada ya Mkopeshwaji huyo kushindwa kulipa mkopo. There is something known as the RIGHT OF REDEMPTION. Either, FORECLOSURE is abolished under the Law in Tanzania.
So, your story is only a fiction.
 
Aje apange kwangu kesho nimtoe aende polisi.

Show ya kwanza ni hiyo risiti, kutafta uhalali wake, ameinunua wapi, huyo mtu alimpa risiti za efd, analipa kodi?

Mbona weakeness zipo nyingi sana, wanasheria wanshindwaje hata kama hii stori haina ukweli wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…